YONA, MRAMBA KWENDA JELA MIAKA 2 BILA FAINI
Basil Mramba na Daniel Yona wakiwa Mahakama Kuu ya Tanzania kusikiliza rufaa yao. Daniel Yona akiteta jambo na mmoja wa mawakili mahakamani hapo. Ndugu wa Daniel Yona wakimsalimia mara baada ya kufika mahakamani hapo. Yona akiwasiliana na ndugu zake. MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam leo imetoa hukumu ya rufaa dhidi ya mawaziri wa zamani, Bazil Mramba na Daniel Yona waliohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMRAMBA, YONA WAHUKUMIWA MIAKA 3 JELA NA FAINI YA MILIONI 5
10 years ago
MichuziBREAKING NEWSSSS: Basil MRAMBA NA Daniel YONA WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3. Grey Mngonja huru
Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona leo wamekutwa na hatia na katika kesi iliyokuwa inawakabili kifungo cha kwenda jela miaka mitatu kila mmoja kwa kukutwa na makosa 10 ya matumizi mabaya ya madaraka. Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Yona, Mramba jela miaka mitatu
10 years ago
VijimamboMAHAKAMA YAWAHUKUMU MRAMBA NA YONA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imewahukumu kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya shilingi milioni 5 kila mmoja aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona baada ya kuwatia hatiani kwa makosa mawili.
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumwenyi pamoja na Hakimu Saul Kinemela ambapo mtuhumiwa wa tatu wa kesi hiyo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja amekutwa hana hatia.
Washitakiwa hao walikuwa...
9 years ago
MichuziSTOP PRESS: RUFAA ZA MRAMBA NA YONA ZAGONGA MWAMBA, KUTUMIKIA MIAKA 2 BADALA YA MITATU, FAINI YA MILIONI 5 YAFUTWA
Na Mwene Saidi wa Globu ya Jamii
Rufaa iliyokatwa na mawaziri wa zamani Basil Mramba (kushoto) na Daniel Yonah imegonga mwamba katika Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam leo, baada ya kuwapunguzia mwaka mmoja na kuwaondolea faini ya milioni 5 na kutakiwa kuendelea kutumikia kifungo cha miaka miwili baada ya mahakama hiyo kuona hakuna ushahidi wa kuthibitisha shitaka la kusababisha hasara ya Sh. bilioni 11.7.
Kadhalika, mahakama hiyo imesema Mahakama ya Kisutu, ilikuwa sahihi...
5 years ago
MichuziRAIA WA CAMEROON AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 100 AMA KWENDA JELA MIAKA MITATU
Pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa USD 84,300 alizokutwa nazo mshtakiwa.
Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Rashidi Chaungu baada ya mshtakiwa kukiri kosa lake.
Kabla ya kusomwa kwa hukumu hiyo Wakili wa Serikali Mkuu, Shadrack Kimaro aliomba mahakama pamoja na adhabu ya kulipa faini aliomba...
10 years ago
Habarileo07 Jul
Mramba, Yona watupwa jela
VILIO na simanzi vilitawala katika eneo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WANNE JIJINI DAR WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU AU KULIPA FAINI YA 500,000/- KILA MMOJA
MAHAKAMA ya Hakimu Kisutu imewahukumu wafanyabiashara wanne wakazi wa Dar es Salaam kulipa faini ya shilingi 500,000 kila mmoja ama kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kukutwa na madini tofauti tofauti yenye uzito gram 131 yenye thamani ya zaidi shilingi milioni 100 kinyume na sheria.
Wafanyabiashara hao Noah Mmasanga, Richard Boniface, Ally Said na Mosses Mbojo ambapo wamehukumiwa kulipa faini hiyo baada ya kufika makubaliano na Mkurugenzi wa...
11 years ago
Habarileo11 Mar
Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.