MAHAKAMA YAWAHUKUMU MRAMBA NA YONA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imewahukumu kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya shilingi milioni 5 kila mmoja aliyekuwa Waziri wa Fedha Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Daniel Yona baada ya kuwatia hatiani kwa makosa mawili.
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumwenyi pamoja na Hakimu Saul Kinemela ambapo mtuhumiwa wa tatu wa kesi hiyo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja amekutwa hana hatia.
Washitakiwa hao walikuwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Yona, Mramba jela miaka mitatu
5 years ago
CCM Blog
MAHAKAMA YA KISUTU YAWATIA HATIANI KINA MBOWE, YAWAHUKUMU KILA MMOJA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA AU KULIPA FAINI YA MAMILIONI YA FEDHA

KISUTU, Dar es SalaamMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, imewatia hatiani viongozi wanane wa Chadema na Katibu Mkuu wa zamani wa chama hicho Dk. Vicent Mashinji, katika mashtaka 12 kati ya 13 yaliyokuwa yanawakabili, isipokuwa shtaka la kwanza la kula njama.
Akisoma hukumu kwa washtakiwa hao, Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Thomas Simba,...
10 years ago
GPL
YONA, MRAMBA KWENDA JELA MIAKA 2 BILA FAINI
10 years ago
GPL
MRAMBA, YONA WAHUKUMIWA MIAKA 3 JELA NA FAINI YA MILIONI 5
10 years ago
Michuzi
STOP PRESS: RUFAA ZA MRAMBA NA YONA ZAGONGA MWAMBA, KUTUMIKIA MIAKA 2 BADALA YA MITATU, FAINI YA MILIONI 5 YAFUTWA

Na Mwene Saidi wa Globu ya Jamii
Rufaa iliyokatwa na mawaziri wa zamani Basil Mramba (kushoto) na Daniel Yonah imegonga mwamba katika Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam leo, baada ya kuwapunguzia mwaka mmoja na kuwaondolea faini ya milioni 5 na kutakiwa kuendelea kutumikia kifungo cha miaka miwili baada ya mahakama hiyo kuona hakuna ushahidi wa kuthibitisha shitaka la kusababisha hasara ya Sh. bilioni 11.7.
Kadhalika, mahakama hiyo imesema Mahakama ya Kisutu, ilikuwa sahihi...
10 years ago
Michuzi
BREAKING NEWSSSS: Basil MRAMBA NA Daniel YONA WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3. Grey Mngonja huru



10 years ago
Habarileo07 Jul
Mramba, Yona watupwa jela
VILIO na simanzi vilitawala katika eneo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.
10 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YA WILAYA YA ILALA IMEMUHUKUMU KIFUNGO CHA MAISHA JELA MCHUNGAJI WA KANISA LA TANZANIA

Pia, mahakama hiyo imetaka mchungaji huyo amlipe fidia ya Shilingi milioni 2 mlalamikaji ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole iliyoko Ukonga.
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, Ngomai alianza kumbaka mtoto huyo akiwa na umri wa miaka kumi na moja, wakati huo akisoma darasa la...
10 years ago
GPL
MKE WA GBAGBO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 JELA