Mahakama yawarusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani,Basil Mramba na Daniel Yona
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZY1-04HTbqY/Ux8tsvSFNZI/AAAAAAAFS7Y/4GxUalj87EM/s72-c/1+(1).jpg)
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7 kwa kutoa msamaha wa kodi baada ya kusikiliza maombi yao leo.
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Jaji John Utamwa baada ya washtakiwa hao kuwasilisha maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RqVMmB8asHQ/VZpvVdTMXvI/AAAAAAAHnQ4/Gd7Ka7yvP7w/s72-c/unnamed%2B%252842%2529.jpg)
BREAKING NEWSSSS: Basil MRAMBA NA Daniel YONA WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3. Grey Mngonja huru
![](http://3.bp.blogspot.com/-RqVMmB8asHQ/VZpvVdTMXvI/AAAAAAAHnQ4/Gd7Ka7yvP7w/s640/unnamed%2B%252842%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5tWXbxAUuPo/VZpvmJY22FI/AAAAAAAHnRA/WsWRa7gzewc/s640/unnamed%2B%252843%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-FCEo0sFcY4I/VZp0_O9kIJI/AAAAAAAHnSA/4S41A0Tigbc/s640/IMG-20150706-WA0017.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZZbolAZuKTg/Va1bl_lyYAI/AAAAAAAHqrY/60w6oxaxv0s/s72-c/1%2B%25281%2529.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KESI YA BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA MWANZO MWISHO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZZbolAZuKTg/Va1bl_lyYAI/AAAAAAAHqrY/60w6oxaxv0s/s320/1%2B%25281%2529.jpg)
Blog hii iliripoti kwa ufupi matokeo ya kesi hiyo na kuahidi kutoa ufafanuzi wa kitaalam hapo baadae kupitia wanasheria wake.
Kwa kuwa GLOBU YA JAMII imekuwa mstari wa mbele kueleza masuala ya ...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mramba, Yona ruksa kwenda India kutibiwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imetoa kibali kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona kwenda India kutibiwa maradhi, ambayo hawakuyataja mahakamani hapo.
11 years ago
Habarileo11 Mar
Mramba, Yona waomba kwenda India kutibiwa
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7, wamewasilisha ombi la kwenda kutibiwa nchini India.
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Korti yaruhusu Mramba, Yona kutibiwa nje
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemruhusu Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, wanaokabiliwa na kesi ya matumizi...
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Korti yaruhusu Yona, Mramba kutibiwa
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Basil-Mramba-na-Daniel-Yona-wakiwa-mahakamani-hapo-leo..jpg)
YONA, MRAMBA KWENDA JELA MIAKA 2 BILA FAINI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-150d0TApj7w/VVoQsu5ILmI/AAAAAAAHYGs/bs6b7D-rM-w/s72-c/Gray-Mgonja-Daniel-Yona-Basil-Mramba.jpg)
Ushahidi wa upande wa Utetezi wa mshtakiwa wa pili, Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona kuendelea kusikilizwa na kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-150d0TApj7w/VVoQsu5ILmI/AAAAAAAHYGs/bs6b7D-rM-w/s640/Gray-Mgonja-Daniel-Yona-Basil-Mramba.jpg)
Jaji Utamwa na Jaji Samu Rumanyika walianza kusikiliza kesi hiyo wakiwa Mahakimu Wakazi Wakuu kabla ya kupanda na kuwa Majaji wa Mahakama Kuu Tanzania, ambao kwa sasa wako, Kanda ya Tabora.
Kesi hiyo iliahirishwa leo...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rrMSSgYbxcc/VZrCHWy4S_I/AAAAAAABRQg/gbOOQIitxLA/s72-c/IMG-20150706-WA0017.jpg)
MAHAKAMA YAWAHUKUMU MRAMBA NA YONA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA
![](http://2.bp.blogspot.com/-rrMSSgYbxcc/VZrCHWy4S_I/AAAAAAABRQg/gbOOQIitxLA/s640/IMG-20150706-WA0017.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-mBX0L__SGJo/VZrCHQ3_MYI/AAAAAAABRQk/xvrNsKfs7vM/s640/IMG-20150706-WA0021.jpg)
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumwenyi pamoja na Hakimu Saul Kinemela ambapo mtuhumiwa wa tatu wa kesi hiyo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja amekutwa hana hatia.
Washitakiwa hao walikuwa...