Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazabuni kugoma, kwenda kortini

Wazabuni wanaosambaza chakula katika taasisi za Serikali zikiwamo shule za sekondari na magereza mkoani hapa, wanatarajia  kugoma na kufungua kesi ya madai wakitaka kulipwa Sh2 bilioni wanazodai tangu mwaka 2008.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Qatar kwenda kortini kuhusu 2022.

Kamati andalizi ya Qatar 2022 inatafakari kuishtaki FIFA kuzuia marudio ya kura ya uwenyeji.

 

11 years ago

Mwananchi

TLS kwenda kortini kupinga Katiba Mpya

Wiki mbili kabla Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kuanza vikao vya awamu ya pili baada ya kuahirishwa Aprili mwaka huu, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinapanga kwenda mahakamani kusitisha mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Atembea kilomita 2000 kwenda kortini India

Kiongozi wa kidini ameitamausha mahakama moja nchini India alipoiambia kuwa hatoweza kufika mbele yake hadi baada ya miezi 8 kwani hawezi kuabiri gari

 

10 years ago

Mwananchi

Arfi naye kwenda kortini kupinga Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na badala yake kufanya kile alichokiita kuandika rasimu nyingine.

 

9 years ago

Bongo5

Ex wa Nicki Minaj kwenda kortini, ni kudai kulipwa kwa kushiriki kuandaa album tatu za rapper huyo

Herve Leger By Max Azria - Front Row - Mercedes-Benz Fashion Week Spring 2014

Aliyekuwa boyfriend wa Nicki Minaj, Safaree Samuels anaenda mahakamani kushtaki kudai haki yake.

Herve Leger By Max Azria - Front Row - Mercedes-Benz Fashion Week Spring 2014

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Samuels anataka alipwe mpunga wake kwa kuchangia kutengenezwa kwa album tatu za Nicki, The Pinkprint, Pink Friday, na Pink Friday: Roman Reloaded.

Pia anataka alipwe kwa kuhusika kwenye singles kubwa zikiwemo “Only” ambayo ex wake amewashirikisha Chris Brown, Drake, na Lil Wayne, “Flawless (Remix)” akiwa na Beyoncé, na “Feeling Myself.”

Samuels ambaye pia ni...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZABUNI CHANZO UCHELEWESHJI WA MIRADI

  Na Stella Kalinga, Simiyu RSMkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Brigedia Jenerali Charles Mbuge  amesema kuwa baadhi ya wazabuni wanaouza vifaa vya ujenzi wamekuwa wakiuza vifaa kwa bei ya juu na kuchelewesha vifaa hivyo pale vinapohitajika, jambo linalopelekea baadhi ya miradi inayotekelezwa na Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi hilo (SUMA JKT) kutokamilika kwa wakati.
Brigedia Jenerali Mbuge ameyasema hayo Februari 13, 2020 mjini Bariadi wakati akiwa katika ziara ya kukagua...

 

10 years ago

Mwananchi

Wazabuni Mbeya kuishtaki Serikali

Chama cha Wazabuni Mbeya (Chawambe), kinakusudia kuiburuza mahakamani serikali ya mkoa kwa madai ya kushindwa kuwalipa wanachama wake wenye zabuni ya kusambaza vyakula na vifaa vingine serikalini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazabuni Mbeya wadai kufilisika

MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne mwaka huu huenda yakawa mabaya hasa kwa shule zilizo chini ya serikali mkoani Mbeya kutokana na wazabuni wanaotoa huduma ya chakula kusitisha kutokana...

 

11 years ago

Habarileo

DART yawatoa wasiwasi wazabuni

WAKALA wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) amewataka watu wanaotaka kuomba zabuni za kutoa huduma katika mradi huo wa mabasi, kuondoa wasiwasi kwa kuwa zabuni hizo zitatangazwa kwa uwazi. Kaimu Mtendaji Mkuu wa wakala huo, Asteria Mlambo aliwaambia hayo waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani