Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TLS kwenda kortini kupinga Katiba Mpya

Wiki mbili kabla Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kuanza vikao vya awamu ya pili baada ya kuahirishwa Aprili mwaka huu, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinapanga kwenda mahakamani kusitisha mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Arfi naye kwenda kortini kupinga Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge Maalumu, Said Arfi amesema anakusudia kwenda mahakamani kupata ufafanuzi wa uhalali wa Bunge hilo kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba na badala yake kufanya kile alichokiita kuandika rasimu nyingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeipa kibali Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likihitimisha rasmi vikao vyake jana, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupinga mwenendo wa Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji Mtikila kufungua kesi kupinga Katiba Mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anatarajia kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya: Mgosi kwenda na mkewe

BAADA ya kijiwe kufanyiwa mtima nyongo na kuenguliwa kushiriki Bunge la Katiba, mmoja wetu Mgosi Machungi amejipenyeza kama mzee Kimdunge Ngumaru Mwehu aliyepitia chama cha waganga wa jadi. Mgosi Machungi...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Bomani akejeli wanaotaka kwenda msituni Katiba mpya

Jaji mstaafu Mark Bomani JAJI mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa ajili ya wanyama na si binadamu.

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA MILANGO YA BUNGE

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania JUKATA Deusi Kibamba akizungumza na wanahabari leo jijini dar es salaam juu ya mchakato huo wa katiba mpya. Jukwaa la katiba Tanzania (JUKATA) leo wamemtaja mwenyekiti wa  bunge maalum la katiba mh SAMWELI SITTA  pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali mh JAJI  FREDRICK WEREMA kuwa ndio maadui wapya wawili wakubwa wa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.Akizungumza na wanahabari jiji ni Dar es salaam mwenyekiti wa JUKATA ndugu DEUCE KIBAMBA amesema...

 

11 years ago

TheCitizen

TLS says petition on Katiba not likely

>Intention by  the Tanganyika Law Society (TLS) to file a court petition to seek interpretation of the powers vested in the Constituent Assembly (CA) may not materialise as its members seem to be divided in opinion.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili TLS wajipanga kuipinga Katiba

Baada ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufuta kesi yake ya kupinga mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, sasa mawakili waliokuwa wakikiwakilisha chama hicho katika kesi hiyo wanafanya mikakati ya kufungua kesi ya kupinga Katiba Inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani