Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawakili TLS wajipanga kuipinga Katiba

Baada ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufuta kesi yake ya kupinga mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, sasa mawakili waliokuwa wakikiwakilisha chama hicho katika kesi hiyo wanafanya mikakati ya kufungua kesi ya kupinga Katiba Inayopendekezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

CHADEMA kuanza ziara ya kuipinga Katiba.

Na Grace Semfuko,                     

                 

Dar Es Salaam.

 

 

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitaanza ziara maalum katika mikoa yote Nchini ya kuhamasisha wananchi kuikataa katiba inayopendekezwa kwa madai haijakidhi maslahi ya watanzania.

 

Chama hicho kimesema ziara hiyo itaanza kwa awamu katika jumuia zake ambapo Oktoba 17 itaanzia na jumuiya ya wanawake BAWACHA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee.

 

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa amesema ziara hizo pia...

 

11 years ago

TheCitizen

TLS says petition on Katiba not likely

>Intention by  the Tanganyika Law Society (TLS) to file a court petition to seek interpretation of the powers vested in the Constituent Assembly (CA) may not materialise as its members seem to be divided in opinion.

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LA KATIBA LITAPIMWA NA WANANCHI - TLS

Na woinde shizza,Arusha
Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanzania ,Tanganyika Law Society (TLS),Francis Stola amesema kuwa kazi ya Bunge la Katiba itapimwa na wananchi kupitia kura ya maoni ya Katiba inayowapa mamlaka ya kuikataa katiba hiyo ama kuikubali endapo wanaona kuwa maoni yao hayakuzingatiwa.
Licha ya kifungu cha 25 cha sheria ya mabadiliko kutokufafanua madaraka halisi ya tume hiyo lakini pia wametakiwa kutengeneza katiba inayotakiwa na Watanzania walio wengi.
Akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

TLS: Wajumbe msituharibie Katiba yetu

Baraza la Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limeipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa kazi nzuri iliyofanya ya kutoa rasimu yenye sura ya kitaifa.

 

11 years ago

Mwananchi

TLS kwenda kortini kupinga Katiba Mpya

Wiki mbili kabla Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kuanza vikao vya awamu ya pili baada ya kuahirishwa Aprili mwaka huu, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinapanga kwenda mahakamani kusitisha mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeipa kibali Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likihitimisha rasmi vikao vyake jana, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupinga mwenendo wa Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe Bunge la Katiba wajipanga kutetea wakulima

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la wakulima, wamesema watapigania haki zao ili ziingizwe katika katiba hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe sekta ya afya wajipanga kusukuma hoja Bunge la Katiba

>Wataalamu wa afya ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana walikutana ili kupanga mkakati wa namna ya kushauri na kusukuma hoja za sekta ya afya katika Rasimu ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani