TLS: Wajumbe msituharibie Katiba yetu
Baraza la Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) limeipongeza Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa kazi nzuri iliyofanya ya kutoa rasimu yenye sura ya kitaifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen09 Aug
TLS says petition on Katiba not likely
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zoG2Xng9xio/UwdF9Jss33I/AAAAAAAFOnE/AHgJZ3NnQTs/s72-c/107578798.png)
BUNGE LA KATIBA LITAPIMWA NA WANANCHI - TLS
![](http://4.bp.blogspot.com/-zoG2Xng9xio/UwdF9Jss33I/AAAAAAAFOnE/AHgJZ3NnQTs/s1600/107578798.png)
Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanzania ,Tanganyika Law Society (TLS),Francis Stola amesema kuwa kazi ya Bunge la Katiba itapimwa na wananchi kupitia kura ya maoni ya Katiba inayowapa mamlaka ya kuikataa katiba hiyo ama kuikubali endapo wanaona kuwa maoni yao hayakuzingatiwa.
Licha ya kifungu cha 25 cha sheria ya mabadiliko kutokufafanua madaraka halisi ya tume hiyo lakini pia wametakiwa kutengeneza katiba inayotakiwa na Watanzania walio wengi.
Akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Mawakili TLS wajipanga kuipinga Katiba
11 years ago
Mwananchi21 Jul
TLS kwenda kortini kupinga Katiba Mpya
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba
10 years ago
Mwananchi03 Oct
TLS yafungua kesi kupinga Bunge la Katiba J’tatu
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.
Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0528.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi26 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
![Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/m8cdBlx8iECl07lgecM4ereL6z_GbOh3tUadh62rn422chXgPsPTnJHdcv-x1j1MxWBmgSOvMIDVuzErtbHqt1mSo93mbA_UpwfgTJ76vkNQlCJekyo=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0134.jpg)
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Qh13ySPsV1yD99prfBkyxntjJa03R9Yw8Qlnu3rxYw5IJd4RTvkGetB-ckBG38daGLR0Gv9VcYWSzA-4tviSK0dxCp7LVSV5Ye1r3cIUkK_1qZJ3m4um=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01911.jpg)