Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kada achukua fomu, atembea hadi stendi

Antony Chalamila (66) amekuwa mgombe wa 41 kuchukua fomu ya kuomba kupitishwa na CCM kuwania urais, lakini kivutio kilikuwa ni jinsi alivyochapa mguu kutoka ofisi za chama hicho hadi stendi ya mabasi kurudi mkoani Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

KADA WA 13 WA CCM, DK. ABDULHALIM MOHAMMED ALI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Kada wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Abdulhalim Mohammed Ali katikati akitoka katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar baada ya kukamilisha uchukuaji wa Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 13 wa CCM kuchukua fomu leo.Akikabidhiwa fomu





 

10 years ago

Habarileo

Kada Chadema arejesha fomu kuwania Nkwela

KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Daniel Ngogo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkwela.

 

5 years ago

Michuzi

Kada wa CCM Mohammed Hija Arejesha Fomu Yake ya Kugombea Urais leo.


Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar akihakiki fomu za Mgombea Urais Mhe. Mohammed Hija wakati akirejesha fomu hizo baada ya kumaliza zoezi la kutafuta wadhamini na kuzijaza, hafla hiyo imefanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar akihakiki fomu za Mgombea Urais Mhe. Mohammed Hija wakati akirejesha fomu hizo baada ya kumaliza zoezi la kutafuta wadhamini na kuzijaza, hafla hiyo imefanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Magufuli achukua fomu kimyakimya

Tofauti na makada wengine wa CCM ambao walianza kwa kutangaza nia kisha baada ya kuchukua fomu kuzungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana alichukua fomu kimyakimya bila kutaka kuzungumza lolote.Badala yake akasema atatafuta muda muafaka wa kuzungumza na vyombo vya habari baada ya kusoma fomu alizopewa na chama chake.Hata hivyo, kwa kifupi kabisa alisema endapo atapata ridhaa ya kuiongoza nchi atatekeleza Ilani ya CCM na kuwaomba Watanzania wamuombee.Dk...

 

9 years ago

GPL

KINGWENDU ACHUKUA FOMU YA UBUNGE

Kingwendu akikabidhiwa fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kisalawe kwa tiketi ya CUF. Katika hali ya kuonyesha kuwa UKAWA imedhamiria kushika dola, mgombea wa ubunge jimbo la Kisarawe kwa tiketi ya Chama Cha wananchi (CUF),  Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' jana amechukua fomu ya ubunge na kuahidi kuwa muda wa kwenda kubutua mijicho yake na kutoa ulimi nje umewadia, huu ndio muda wa heno heno. ...

 

10 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU NEC

Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) Adman Nyando, akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Urais, Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, leo Agosti 4, 2015, katika Ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo) 

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

LOWASSA ACHUKUA FOMU YA URAIS CHADEMA

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwa katika meza kuu ya Chadema. WAZIRI MKUU wa zamani, Mhe. Edward Lowassa hivi punde amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lowassa amekabidhiwa fomu hiyo na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Lowassa alijiunga rasmi na Chadema juzi akitokea...

 

10 years ago

Habarileo

Msaidizi wa Kikwete achukua fomu ya ubunge

KATIBU wa Rais Jakaya Kikwete, Prosper Mbena amevunja ukimya wa minong’ono ya muda mrefu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, baada kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani