Wasomi waitabiria CCM ushindi
WASOMI na wanaharakati mbalimbali nchini kwa kumteua Dk John Magufuli kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, chama hicho kimempata mgombea sahihi, asiye na makundi pia kimezingatia jinsia baada ya kumchagua mgombea mwenza mwanamke, Samia Suluhu Hassan.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo30 Oct
Wasomi wapongeza ushindi wa Magufuli
WASOMI na wananchi wa kawaida wamesema ushindi wa Dk John Magufuli ni halali kwani matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanafanana na hali halisi na mapenzi waliyonayo Watanzania kwa mwanasiasa huyo.
9 years ago
CCM Blog![](http://img.youtube.com/vi/0T4D_Wnu0fQ/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
CCM yatumia wasomi vibaya
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupigania mfumo wa serikali mbili zimechukua sura mpya baada ya kubainika kwamba sasa kimeamua kuwatumia wasomi 100, wakiwemo maprosesa kutunga kitabu kutetea msimamo wake...
9 years ago
Vijimambo20 Aug
Wasomi waichambua timu ya kampeni ya CCM.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/bana-20August2015.jpg)
Wanazuoni na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameichambua kwa kutoa maoni tofauti timu ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema timu ya CCM imeundwa na makada wenye uwezo mbalimbali wakiwamo wa kurusha makombora makali kwa upinzani.
Alisema: “Unaweza kuona kamati hii ilivyopangwa imekamilika kwa sababu kuna watu wa kutoa mapigo na wenye busara kama akina...
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Wasomi waichambua kamati ya kampeni CCM
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya Chama Cha Mapiduzi (CCM) kutangaza vigogo 32 wanaounda kamati ya kampeni ya mgombea urais wa chama hicho, baadhi ya wachambuzi na wasomi wameikosoa timu hiyo wakisema haina jipya.
Akizungumza jana kwa simu, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO), Profesa Gaudens Mpangala, alisema anashangazwa na wingi wa wajumbe wa timu hiyo akisema ni dhahiri mwaka huu chama hicho tawala kinakabiliwa na upinzani mkali.
“Nimeshangazwa na uwingi wa...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Nape- Wasomi acheni kuisifu CCM
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, wasomi wasikisifu chama hicho, bali wakikosoe ili iwe chachu ya mabadiliko ndani ya chama.
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Wasomi waionya CCM kuhusu Katiba mpya
WASOMI na wafuatiliaji wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuheshimu maoni ya wananchi yaliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Wananchi hao wamefikia hatua...
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Wasomi wataka CCM ijihoji Kingunge kujivua uanachama
9 years ago
Mwananchi22 Sep
CCM: Ushindi jukwaani 30% tu