Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi waionya CCM kuhusu Katiba mpya

WASOMI na wafuatiliaji wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuheshimu maoni ya wananchi yaliyotolewa na Tume ya  Mabadiliko ya Katiba. Wananchi hao wamefikia hatua...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

ILANI ZA CHADEMA /UKAWA NA CCM ZINAVYOSEMA KUHUSU SUALA LA KATIBA MPYA

ILANI YA CHADEMA / UKAWAKuhusu katiba mpya kuna nukuu kadhaa kutoka kwenye Ilani ya uchaguzi
ya Chadema/UKAWA

Mosi, maelezo ya Mkt wa CHADEMA yanasema kuwa..."UKAWA inajengwa katika msingi mkuu wa kubadilisha katiba iliyopo ili kuweka katiba ya wananchi kwa ajili ya maendeleo yao. Katika kipindi hiki ambacho hali ya maisha ya Watanzania imeendelea kuwa duni, uchumi wa nchi yetu umeyumba, ubora wa elimu ni wa mashaka, ajira kwa vijana ni za kubahatisha na ukiukwaji na uvunjifu wa haki za...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi: Katiba ‘mpya’ imeinufaisha Zanzibar

WASOMI wamepongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuhusu Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi kwa kuichambua vizuri na kubainisha manufaa yake kwa Zanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waguswa ‘zuio’ kampeni Katiba mpya

Rais Jakaya KikweteBAADHI ya wasomi nchini wamepongeza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete inayosisitiza juu ya umuhimu wa wanasiasa kuacha kufanya kampeni zinazohusu Katiba Pendekezwa hadi muda wa kufanya hivyo utakapowadia kwa mujibu wa sheria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uamuzi wa wamisri kuhusu katiba mpya

Watu nchini Misri wameanza kupigia kura ya maamuzi katiba mpya huku hali ya usalama ikiwa imedhibitiwa vikali.

 

11 years ago

Habarileo

Padri aonya wabunge kuhusu Katiba mpya

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kutokubali kuvurugwa na vyama vyao vya siasa, wanapoandaa mchakato wa Katiba mpya, kwani kwa kufanya hivyo wanavuruga amani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkapa atoa hadhari kuhusu Katiba Mpya

 Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amewataka Watanzania kuwa waangalifu ili mchakato wa Katiba Mpya usiwe sababu ya kupigana au kufarakana ili kupata Katiba itakayoendelea kudumisha amani, upendo, utulivu na ushirikiano.

 

11 years ago

Michuzi

MSIMAMO WA MH. ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA

Jana tarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha PowerBreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu msimamo wangu kuhusu mchakato wa Katiba.
Kwanza, Mimi sijawahi kuwa UKAWA wala kundi lolote lile katika Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa kundi linalotaka maridhiano. Msimamo wangu kuhusu Muungano ni Serikali Tatu Zilizoboreshwa (S3z) ili kuwa na Muungano imara usio tegemezi wala egemezi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani