ILANI ZA CHADEMA /UKAWA NA CCM ZINAVYOSEMA KUHUSU SUALA LA KATIBA MPYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-XJ96Wr5Ynho/Ve7CgE6Cg0I/AAAAAAAAJt0/rENTil5ADLM/s72-c/Lowasa%2Bna%2BMagufuli.jpg)
ILANI YA CHADEMA / UKAWAKuhusu katiba mpya kuna nukuu kadhaa kutoka kwenye Ilani ya uchaguzi
ya Chadema/UKAWA
Mosi, maelezo ya Mkt wa CHADEMA yanasema kuwa..."UKAWA inajengwa katika msingi mkuu wa kubadilisha katiba iliyopo ili kuweka katiba ya wananchi kwa ajili ya maendeleo yao. Katika kipindi hiki ambacho hali ya maisha ya Watanzania imeendelea kuwa duni, uchumi wa nchi yetu umeyumba, ubora wa elimu ni wa mashaka, ajira kwa vijana ni za kubahatisha na ukiukwaji na uvunjifu wa haki za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 May
Ukawa: CCM haiwezi kuleta Katiba Mpya
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Wasomi waionya CCM kuhusu Katiba mpya
WASOMI na wafuatiliaji wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuheshimu maoni ya wananchi yaliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Wananchi hao wamefikia hatua...
10 years ago
Mtanzania26 Feb
Ukawa: CCM wanataka Katiba mpya itumike uchaguzi mkuu
Fredy Azzah, Dar es Salaam
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umedai kubaini mpango wa siri wa Serikali kutaka kuipitisha kwa hila Katiba Inayopendekezwa itumike kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Hayo yalibainishwa jana na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Freeman Mbowe, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama cha Wananchi (CUF) Buguruni, Dar es Salaam.
“Tumepata taarifa kuwa CCM imeamua aidha inyeshe mvua au isinyeshe, Katiba Inayopendekezwa itapita kwenye kura ya maoni waweze...
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Chadema waitaka CCM isikwamishe Katiba Mpya
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Suala la katiba mpya lisifanyiwe mzaha
BAADA ya takribani siku zaidi ya 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kupitia ibara 17 za rasimu ya katiba mpya...
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Suala la Mahakama ya Kadhi katika Mchakato wa Katiba Mpya
11 years ago
Habarileo03 Mar
Diwani Chadema ahamasisha utekelezaji wa Ilani ya CCM
DIWANI wa Kata ya Zombo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Issa Said Libenaga (Chadema), amesema haoni sababu ya kushindwa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM.
10 years ago
VijimamboMhe. Jussa asema Suala la Katiba mpya halijafikiwa kama Wananchi walivyotarajia
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe: Ismail Jussa Ladhu amesema Tanzania inaelekea kusipotarajiwa na maoni ya wananchi waliyotoa maoni.
Aidha amesema matarajio ya...
9 years ago
Vijimambo30 Aug
HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/ilani-620x308.jpg)
Hotuba ya Lowassa
Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015
Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu
Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.
Miaka zaidi ya hamsini ya...