Suala la katiba mpya lisifanyiwe mzaha
BAADA ya takribani siku zaidi ya 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kupitia ibara 17 za rasimu ya katiba mpya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Sep
Suala la Mahakama ya Kadhi katika Mchakato wa Katiba Mpya
Mfumo wetu wa Sheria umejengwa kushughulikia mashauri ya kimila na Kiislamu. Kwa unyenyekevu mkubwa, nikiri kwanza kwamba, mjadala huu unaweza kufanikiwa iwapo tutaweka mbele kujifunza na kutafuta maarifa kama ambavyo imani zote zinavyohubiri.
10 years ago
Vijimambo
ILANI ZA CHADEMA /UKAWA NA CCM ZINAVYOSEMA KUHUSU SUALA LA KATIBA MPYA

ya Chadema/UKAWA
Mosi, maelezo ya Mkt wa CHADEMA yanasema kuwa..."UKAWA inajengwa katika msingi mkuu wa kubadilisha katiba iliyopo ili kuweka katiba ya wananchi kwa ajili ya maendeleo yao. Katika kipindi hiki ambacho hali ya maisha ya Watanzania imeendelea kuwa duni, uchumi wa nchi yetu umeyumba, ubora wa elimu ni wa mashaka, ajira kwa vijana ni za kubahatisha na ukiukwaji na uvunjifu wa haki za...
10 years ago
VijimamboMhe. Jussa asema Suala la Katiba mpya halijafikiwa kama Wananchi walivyotarajia
Na Abou Shatry Washington DC
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe: Ismail Jussa Ladhu amesema Tanzania inaelekea kusipotarajiwa na maoni ya wananchi waliyotoa maoni.
Muwakilishi wa jimbo la mji mkongwe Mhe: Ismail Jussa Ladhu akiongea na waTanzania wa DMV Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015 kwenye ukumbi wa Tabeer Hall uliopo University Blvd East, Hyattsville, Maryland, Nchini Marekani. (Picha na swahilivilla)
Aidha amesema matarajio ya...
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Mhe: Ismail Jussa Ladhu amesema Tanzania inaelekea kusipotarajiwa na maoni ya wananchi waliyotoa maoni.
Aidha amesema matarajio ya...
11 years ago
Mwananchi03 Oct
Mzaha watawala Bunge la Katiba
 Vijembe na mzaha vimetawala kwenye Bunge la Katiba mjini Dodoma katika hatua ya upigaji wa kura kuanzia sura ya 11 hadi 19 na ibara zake kuanzia 158 hadi 289.
11 years ago
Mwananchi16 Jul
Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha
Usiku wa kuamkia Julai 8, mwaka huu, bomu la kutupa kwa mkono lililipuka katika mgahawa wa Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana na kujeruhi watu wanane, miongoni mwao wakipoteza baadhi ya viungo vya mwili vilivyolazimika kukatwa kutokana majeraha mabaya.
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Katiba na suala la ardhi, maliasili, gesi na mafuta
Miongoni mwa maeneo ambayo baadhi ya wakosoaji wa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano iliyoandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyooongozwa na Jaji Joseph Warioba ambayo sasa inajadiliwa na Bunge Maalumu ni kukosekana kwa ibara juu ya masuala ya ardhi, maliasili, gesi, mafuta na Serikali za Mitaa.
11 years ago
Michuzi
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog

Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.


Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...
11 years ago
GPL
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...
10 years ago
Mwananchi19 Apr
KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya
>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania