Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha
Usiku wa kuamkia Julai 8, mwaka huu, bomu la kutupa kwa mkono lililipuka katika mgahawa wa Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana na kujeruhi watu wanane, miongoni mwao wakipoteza baadhi ya viungo vya mwili vilivyolazimika kukatwa kutokana majeraha mabaya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Milipuko ya mabomu Arusha ina nia gani?
WAKATI matokeo ya uchunguzi wa milipuko ya mabomu ya awali katika Jiji la Arusha hayajajulikana, mlipuko mwingine wa bomu umetokea jijini humo na kujerhi vibaya watu zaidi ya 17 waliokuwa...
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Mzaha wamtia mashakani mwanasayansi
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Sep
Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais
Na Jabir Idrissa NITAMHESHIMU vilivyo Mwajuma Ali Khamis, mwanamke pekee aliyeingia kuwania wadhifa wa urais Zanzibar, lakini akakiri ufukara umemuangusha. Bi Mwajuma, ambaye sijajua ametokea wapi, amekua vipi, aliingia lini katika siasa mpaka kuthubutu kugombea, nitamheshimu […]
The post Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Habarileo04 Oct
Kikwete- Sina mzaha,watawajibika
RAIS Jakaya Kikwete amesema atawajibisha wakurugenzi watakaoshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara ifikapo mwezi ujao kwani katika suala hilo, hatakuwa na mzaha. Aidha amesema kuanzia sasa, shule zote za sekondari za Serikali zenye Kidato cha Tano na Sita zitakuwa za kitaifa, kwa maana ya kuwa na mchanganyiko wa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini, lengo likiwa ni kuendeleza utaifa kwa vijana.
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Mzaha watawala Bunge la Katiba
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Simba ikileta mzaha imekwisha VPL
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WEKUNDU wa Msimbazi Simba kama wataamua kuleta mzaha katika usajili wa dirisha dogo, basi isahau suala la kufanya vizuri katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Simba ambayo inashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi hiyo, bado haijawa kwenye fomu yake kama ilivyokua misimu mitatu iliyopita, licha ya kujitutumua kutaka kurudi kwenye nafasi mbili za juu ambazo ilikua ikipishana na mahasimu wao Yanga.
Timu hiyo ina nafasi mbili pekee za kuweza kuongeza...
9 years ago
Mtanzania23 Sep
Masanja: Uchungaji si mzaha, jaribuni muone
MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona malipo yake.
Aliongeza kuwa uchungaji ni wito na siyo kazi, pia uchekeshaji ni ajira yake, hivyo hawezi kuacha uchekeshaji kwa sababu ya uchungaji kwa kuwa hakiuki miiko ya uchungaji.
“Eti wanasema uchungaji na siasa wapi na wapi, mbona kuna chama cha siasa kimojawapo mgombea wao wa urais ameletwa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Suala la katiba mpya lisifanyiwe mzaha
BAADA ya takribani siku zaidi ya 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kupitia ibara 17 za rasimu ya katiba mpya...
9 years ago
Bongo Movies23 Sep
Masanja: Uchungaji Si Mzaha, Afunguka Haya
MCHEKESHAJI wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, amewataka wanaomtuhumu kwamba anatumia tiketi ya uchungaji kama njia ya kujiingizia kipato wajaribu kazi hiyo wataona malipo yake.
Aliongeza kuwa uchungaji ni wito na siyo kazi, pia uchekeshaji ni ajira yake, hivyo hawezi kuacha uchekeshaji kwa sababu ya uchungaji kwa kuwa hakiuki miiko ya uchungaji.
“Eti wanasema uchungaji na siasa wapi na wapi, mbona kuna chama cha siasa kimojawapo mgombea wao wa urais...