Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzaha watawala Bunge la Katiba

 Vijembe na mzaha vimetawala kwenye Bunge la Katiba mjini Dodoma katika hatua ya upigaji wa kura kuanzia sura ya 11 hadi 19 na ibara zake kuanzia 158 hadi 289.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

utulivu watawala bunge la katiba mjini dodoma leo - kwa mara ya kwanza toka lizinduliwe

 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu Mhe.Samia Suluhu akiwa anafuatilia mchango wa Mhe.William Lukuvi kwa makini. Hali ya hewa yarejea kuwa ya kawaida bunge maalum la katiba mjini Dodoma leo   Hali ya Ukumbi Ulivyo kuwa Leo ambapo  Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini na ustaarabu wa hali ya juu.  Wabunge wakifuatilia jambo kwa makini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha

Usiku wa kuamkia Julai 8, mwaka huu, bomu la kutupa kwa mkono lililipuka katika mgahawa wa Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana na kujeruhi watu wanane, miongoni mwao wakipoteza baadhi ya viungo vya mwili vilivyolazimika kukatwa kutokana majeraha mabaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Suala la katiba mpya lisifanyiwe mzaha

BAADA ya takribani siku zaidi ya 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kupitia ibara 17 za rasimu ya katiba mpya...

 

11 years ago

Vijimambo

ZLS: Katiba ya wananchi imeporwa na watawala

Zanzibar. Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Awadh Ali Said amesema Rasimu ya Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba imepora mamlaka ya wananchi kutokana na kitendo cha kubadilisha vifungu muhimu ikiwamo mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Akizungumza jana na gazeti hili mjini Zanzibar, Awadh alisema kitendo cha kubadilisha mfumo wa Muungano wa serikali tatu kama ilivyokuwa imependekezwa na rasimu ya awali ya Jaji Joseph Warioba ni kuvunja msingi wa nyumbani na...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

11 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani