ZLS: Katiba ya wananchi imeporwa na watawala
Zanzibar. Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Awadh Ali Said amesema Rasimu ya Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba imepora mamlaka ya wananchi kutokana na kitendo cha kubadilisha vifungu muhimu ikiwamo mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Akizungumza jana na gazeti hili mjini Zanzibar, Awadh alisema kitendo cha kubadilisha mfumo wa Muungano wa serikali tatu kama ilivyokuwa imependekezwa na rasimu ya awali ya Jaji Joseph Warioba ni kuvunja msingi wa nyumbani na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Lini watawala watakuwa wasikivu kwa wananchi?
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Mzaha watawala Bunge la Katiba
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-jnpPJ1Ou2zU/U0_IqSnI0ZI/AAAAAAAFbfQ/tMlN2uxXTmc/s72-c/unnamed+(1).jpg)
utulivu watawala bunge la katiba mjini dodoma leo - kwa mara ya kwanza toka lizinduliwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-jnpPJ1Ou2zU/U0_IqSnI0ZI/AAAAAAAFbfQ/tMlN2uxXTmc/s1600/unnamed+(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DNNTQMWgr94/U0_It-ZsK8I/AAAAAAAFbfo/4MshwGMcUAk/s1600/unnamed+(2).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1xeHF1XwQyw/U0_IrXWQ59I/AAAAAAAFbfY/Efq8QyjOXI4/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vq7-YO6o3oo/U0_IryPUmDI/AAAAAAAFbfc/YSzEHvodD4M/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo16 Jul
CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/146.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/244.jpg)
11 years ago
Mwananchi09 Jul
KATIBA: ‘Wananchi ndiyo waamuzi wa Katiba’
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Katiba ni mali ya wananchi, waielewe
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Katiba ni mali ya wananchi, waielewe - 3
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
CHADEMA: Wananchi ikataeni Katiba
SIKU chache baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha Katiba mpya iliyopendekezwa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewasihi Watanzania kuikataa punde itakapopelekwa kwao kwa ajili ya kupigiwa kura. Kimesema,...
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Wananchi watengwa Katiba Mpya
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
NI siku ya 14 sasa tangu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walipokutana kwa awamu ya pili Agosti mwaka huu, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili mabadiliko ya kanuni za Bunge hilo kabla ya kuanza kupitia sura 15 za Rasimu ya Katiba.
Hadi sasa baadhi ya kamati zimeshamaliza kazi ya kupitia sura zote hizo ambazo zinakamilisha sura 17 za rasimu hiyo, ikiwa ni baada ya sura ya kwanza na ile ya sita kujadiliwa kwenye awamu ya kwanza ya Bunge hilo.
Wakati...