Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete- Sina mzaha,watawajibika

RAIS Jakaya Kikwete amesema atawajibisha wakurugenzi watakaoshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara ifikapo mwezi ujao kwani katika suala hilo, hatakuwa na mzaha. Aidha amesema kuanzia sasa, shule zote za sekondari za Serikali zenye Kidato cha Tano na Sita zitakuwa za kitaifa, kwa maana ya kuwa na mchanganyiko wa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini, lengo likiwa ni kuendeleza utaifa kwa vijana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha

Usiku wa kuamkia Julai 8, mwaka huu, bomu la kutupa kwa mkono lililipuka katika mgahawa wa Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana na kujeruhi watu wanane, miongoni mwao wakipoteza baadhi ya viungo vya mwili vilivyolazimika kukatwa kutokana majeraha mabaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchi ikichafuka CCM watawajibika

WAKATI  fulani nilimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, katika kipindi cha dakika 45, kinachorushwa na kituo cha ITV, akijibu swali la mwandishi aliyemtaka atoe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani Kikwete: Sina ubia na baba

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Ridhiwani Kikwete,  ambaye ni mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, amesema kuwa siasa anazofanya hazina uhusiano  na wala ubia na baba yake....

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Sina lolote la kumkumbuka Rais Kikwete

>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hakuna jambo lolote litakalomfanya amkumbuke Rais Jakaya Kikwete baada ya uongozi wake mwakani, akisema anachofanya sasa kiongozi huyo ni kuzindua miradi iliyowekwa na Serikali ya Awamu ya Tatu.

 

11 years ago

CloudsFM

KIKWETE: SINA MUDA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI

Rais Jakaya Kikwete amepuuza madai kwamba, alishiriki kumwokoa mwanawe, ambaye ni Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, aliyetuhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi.
Amesema kuwa urais ni taasisi kubwa nchini, hivyo yeye akiwa rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo baadhi ya watu wanaomsukuma ashiriki katika maneno hayo aliyoyaita kuwa ni ya “mitaani.”

“This is nonsense ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzaha watawala Bunge la Katiba

 Vijembe na mzaha vimetawala kwenye Bunge la Katiba mjini Dodoma katika hatua ya upigaji wa kura kuanzia sura ya 11 hadi 19 na ibara zake kuanzia 158 hadi 289.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais

Na Jabir Idrissa NITAMHESHIMU vilivyo Mwajuma Ali Khamis, mwanamke pekee aliyeingia kuwania wadhifa wa urais Zanzibar, lakini akakiri ufukara umemuangusha. Bi Mwajuma, ambaye sijajua ametokea wapi, amekua vipi, aliingia lini katika siasa mpaka kuthubutu kugombea, nitamheshimu […]

The post Mzaha uliotukuka wagombea 14 urais appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzaha wamtia mashakani mwanasayansi

Mwanasayansi wa Uingereza Sir Tim Hunt amejiuzulu baada ya kutoa tamko la mzaha kuhusu wanawake.Mshindi huyo wa taji la Nobel alisema kuwa wanawake huwapenda wanaume wanaofanya kazi nao kwa urahisi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Suala la katiba mpya lisifanyiwe mzaha

BAADA ya takribani siku zaidi ya 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kupitia ibara 17 za rasimu ya katiba mpya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani