Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani Kikwete: Sina ubia na baba

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Ridhiwani Kikwete,  ambaye ni mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, amesema kuwa siasa anazofanya hazina uhusiano  na wala ubia na baba yake....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

KIKWETE: SINA MUDA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI

Rais Jakaya Kikwete amepuuza madai kwamba, alishiriki kumwokoa mwanawe, ambaye ni Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, aliyetuhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi.
Amesema kuwa urais ni taasisi kubwa nchini, hivyo yeye akiwa rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo baadhi ya watu wanaomsukuma ashiriki katika maneno hayo aliyoyaita kuwa ni ya “mitaani.”

“This is nonsense ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu...

 

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani: Siasa ninazofanya hazina uhusiano na baba

 Mshindi wa kura za maoni za kugombea ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete amesema siasa anazofanya sasa hazina uhusiano wala ubia na baba yake.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete- Sina mzaha,watawajibika

RAIS Jakaya Kikwete amesema atawajibisha wakurugenzi watakaoshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara ifikapo mwezi ujao kwani katika suala hilo, hatakuwa na mzaha. Aidha amesema kuanzia sasa, shule zote za sekondari za Serikali zenye Kidato cha Tano na Sita zitakuwa za kitaifa, kwa maana ya kuwa na mchanganyiko wa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini, lengo likiwa ni kuendeleza utaifa kwa vijana.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa: Sina lolote la kumkumbuka Rais Kikwete

>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hakuna jambo lolote litakalomfanya amkumbuke Rais Jakaya Kikwete baada ya uongozi wake mwakani, akisema anachofanya sasa kiongozi huyo ni kuzindua miradi iliyowekwa na Serikali ya Awamu ya Tatu.

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI CHALINZE

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini, Mzee Rajab Seif Kabeilwa ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mzee Mrisho Kikwete ambaye ni babu yake, wakati alipokwenda kumsalimia kijijini kwake, Pongwe Kiona jana Machi 23, 2013.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM), Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina la Vijana wa CCM wa bodaboda...

 

10 years ago

Michuzi

MH. RIDHIWANI KIKWETE KUHARAKISHA MAENDELEO CHALINZE

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika Kijiji cha Changarikwa wakati wa ziara ya kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kuchagua viongozi wa Seikali ya Kijiji wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.CCM imepata ushindi wa Vijiji vyote katika 74 katika jimbo hilo. Ridhiwani akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia katika kijiji hicho ambapo aliwataka kuacha tabia ya kukata miti ovyo kwa ajili ya mkaa ama sivyo vijiji vitageuka jangwa. Mkazi wa Kijiji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani