Ridhiwani: Siasa ninazofanya hazina uhusiano na baba
 Mshindi wa kura za maoni za kugombea ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete amesema siasa anazofanya sasa hazina uhusiano wala ubia na baba yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Ridhiwani Kikwete: Sina ubia na baba
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Ridhiwani Kikwete, ambaye ni mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, amesema kuwa siasa anazofanya hazina uhusiano na wala ubia na baba yake....
10 years ago
StarTV24 Oct
Mtoto wa Kingunge alimshauri baba yake apumzike siasa
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ambaye amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kingunge Ngombali Mwiru ameshauriwa na mwanaye Kinje kupumzika kwenye masuala ya siasa za majukwaa ili kuendelea kujitunzia heshima kama miaka ya nyuma.
Kinje amebainisha kuwa nchi hii inamuhitaji baba yake katika mambo ya msingi hususani kutunza na kuendeleza amani ambayo inapaswa kuenziwa kwa sasa tofauti na anavyofanya kada huyo aliyedai kujihusisha na siasa ambazo ameziita za...
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja na Marehemu baba yake.
"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-5
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA:
“Sasa niwe nyumba ndogo yako baba Pili si utakuwa unapata shida? Mimi najua nyumba ndogo lazima iwe free…ukitaka kwenda unakwenda muda wowote ule.”
“Hapana si lazima…unaweza kuwa mke wa mtu halafu bado ukawa nyumba ndogo yangu,” alifafanua baba Pili akionekana yuko siriasi kabisa na maneno yake…
JIACHIE MWENYEWE…
“Mh! Mimi nadhani au napendekeza tuendelee kuwa kama hivi…marafiki wakubwa lakini wa siri…mume wangu baba Pilima asijue wala mke wako mama Pili...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-8
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
Ina maana akiamua kusema basi, halafu akaendelea na baba Pili atakuwa ameanza tabia ya kurukaruka…
“Kwani wewe kwa jina la mtoto wako yeyote yule unaitwa baba nani?” mama Pilima alimuuliza mwanaume huyo huku akimwangalia kwa macho yaliyojaa mahaba mazito…
“Naitwa baba P.”TAMBAA NAYO…
“He! Baba P! P ni kifupi au ndiyo jina lote?”
“Kifupi.”
“Kirefu chake?”
“Pilima. Kwa hiyo mimi unaweza kuniita baba Pilima.”
Mama Pilima alicheka sana, akasimama akiendelea kucheka...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-6
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
“Yes! Hakuna mtu anayepita eneo hili muda huu,” alisema mama Pilima hali iliyomfanya baba Pili aamini kwamba huenda wanakwenda kutimiza ndoto yake…
“Egemea kiti,” alisema mama Pilima…
JIRUSHE MWENYEWE…
Baba Pili aliegemea kiti kwa haraka sana, akatumbua macho kusubiri hatua nyingine akiamini ataambiwa au ataelekezwa…
“Mmm! Baba Pili acha mi niende bwana. Muda umekwenda kwelikweli, si ajabu nyumbani wameanza kuingiwa na wasiwasi,” alisema mama Pilima akiwa tayari...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-7
ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA:
Saa kumi juu ya alama, mama Pilima alipokea simu kwa namba asiyoijua, akajua ni baba Pili…
“Haloo…niambie baba Pili…wapi? Ooo…napajua…oke… we umeshafika? Haya nakuja sasa hivi mpenzi wangu…”
BANJUKA NAYO MWENYEWE…
Mama Pilima alichukua usafiri mpaka kwenye hoteli aliyoelekezwa na mwanaume huyo. Akaingia ndani mpaka chumbani bila kupotea ambapo alimkuta mwenyeji wake amejaa tele japo alikuwa hajavua nguo kwa sababu machale yalimcheza…
“Unajua nini…saa zile nakuita...