Dk Slaa: Sina lolote la kumkumbuka Rais Kikwete
>Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema hakuna jambo lolote litakalomfanya amkumbuke Rais Jakaya Kikwete baada ya uongozi wake mwakani, akisema anachofanya sasa kiongozi huyo ni kuzindua miradi iliyowekwa na Serikali ya Awamu ya Tatu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Slaa: Rais Kikwete aache visingizio
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Slaa: Rais Kikwete ana rungu la Katiba Mpya
10 years ago
Mtanzania10 Sep
Dk. Slaa: Sina barua ya msajili
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA ELIZABETH HOMBO
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema hajawahi kupokea barua yoyote kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, inayowataka waitishe mkutano wa Kamati Kuu ili kufanya marekebisho ya Katiba yao.
Wakati Dk. Slaa anatoa kauli hiyo, Julai, mwaka huu, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa chama hicho, John Mnyika, alizungumza na vyombo vya habari kuwa Agosti, 2006...
10 years ago
Habarileo04 Oct
Kikwete- Sina mzaha,watawajibika
RAIS Jakaya Kikwete amesema atawajibisha wakurugenzi watakaoshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara ifikapo mwezi ujao kwani katika suala hilo, hatakuwa na mzaha. Aidha amesema kuanzia sasa, shule zote za sekondari za Serikali zenye Kidato cha Tano na Sita zitakuwa za kitaifa, kwa maana ya kuwa na mchanganyiko wa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali nchini, lengo likiwa ni kuendeleza utaifa kwa vijana.
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Ridhiwani Kikwete: Sina ubia na baba
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Ridhiwani Kikwete, ambaye ni mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, amesema kuwa siasa anazofanya hazina uhusiano na wala ubia na baba yake....
11 years ago
CloudsFM05 Aug
KIKWETE: SINA MUDA KUJADILI UPUUZI KUHUSU RIDHIWANI
Rais Jakaya Kikwete amepuuza madai kwamba, alishiriki kumwokoa mwanawe, ambaye ni Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, aliyetuhumiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi.
Amesema kuwa urais ni taasisi kubwa nchini, hivyo yeye akiwa rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo baadhi ya watu wanaomsukuma ashiriki katika maneno hayo aliyoyaita kuwa ni ya “mitaani.”
“This is nonsense ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
10 years ago
TheCitizen19 Jan
Slaa claims Kikwete is not keen on priorities
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Hatujachelewa kuepushia nchi mitafaruku, ilivyo lolote laweza kutokea
KAMA kuna neno wakilishi linaloweza kuelezea hali ya mambo tulimo hapa nchini leo, neno hilo ni “
Joseph Mihangwa