Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzaha wamtia mashakani mwanasayansi

Mwanasayansi wa Uingereza Sir Tim Hunt amejiuzulu baada ya kutoa tamko la mzaha kuhusu wanawake.Mshindi huyo wa taji la Nobel alisema kuwa wanawake huwapenda wanaume wanaofanya kazi nao kwa urahisi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mzaha wamtia mashakani rais wa Bolivia

Rais wa Bolivia Evo Morales ameomba msamaha kwa kufanya mzaha kuhusu uwezekano wa waziri wake wa afya Ariana Campero kuwa mpenzi wa jinsia moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulevi wamtia mashakani Phelps

Muogeleaji bingwa wa Olimpiki nchini Marekani,Michael Phelps, amekamatwa kwa kundesha gari akiwa mlevi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mvinyo wamtia mashakani kiongozi Australia

Kiongozi mmoja nchini Australia, amejiuzulu baada ya kukana kuwa alipata zawadi ya mvinyo yenye thamani ya dola 2,800.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mradi hewa wa Mbuni wamtia mashakani Afrika:K

Evans alidanganya wawekezaji 87 na kuwaibia Pauni 900,000, katika kile alichodai kuwa mradi wa Mbuni Kusini mwa Wales.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzaha mzaha utumbua usaha milipuko ya mabomu Arusha

Usiku wa kuamkia Julai 8, mwaka huu, bomu la kutupa kwa mkono lililipuka katika mgahawa wa Vama Restaurant uliopo maeneo ya Gymkhana na kujeruhi watu wanane, miongoni mwao wakipoteza baadhi ya viungo vya mwili vilivyolazimika kukatwa kutokana majeraha mabaya.

 

10 years ago

Vijimambo

Dkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015

Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Dokta Mwele ambaye hadi wakati anatangaza uamuzi huo ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), ana historia ya kipekee ambayo nilibahatika kuifahamu kupitia chapisho moja lililopo katika blogu hii. Hata hivyo, chapisho hilo ambalo lilisomwa na maelfu ya watu,...

 

10 years ago

Mtanzania

JK, Ukawa wamtia Sitta kitanzani

Mtanzania 10092014NA RACHEL MRISHO, DODOMA

UAMUZI uliofikiwa na viongozi wa vyama vya siasa na Rais Jakaya Kikwete umemweka katika wakati mgumu Mwenyeki wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuahirisha au la vikao vya Bunge hilo.

Hii inafuatia Rais Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kukubaliana kusitisha Bunge la Katiba Oktoba 4 tofauti na ratiba ya Sitta ambayo inaonyesha vikao vitaendelea hadi Oktoba 31 atakapomkabidhi rais katiba iliyopendekezwa.

Vilevile kwa tafsiri ya uamuzi...

 

11 years ago

GPL

MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA

Na Mwandishi Wetu
MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia  mwilini mwake. Wema Sepetu. Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema  kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu. NI...

 

10 years ago

Mwananchi

wakina Guninita ‘wamtia’ DC Makonda kortini

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametakiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwasilisha utetezi dhidi ya madai ya makada wawili wa CCM, John Guninita na Mgana Msindai kuwa aliwadhalilisha kwa kuwaita vibaraka wanaotumiwa kuharibu chama hicho kwa nguvu ya pesa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani