MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/OyRBKp4pk3Ru7vQ7*JW-1LgvHqLvYg4m1muCFvtb9KArlfUUL0C66vDzr6MwMMcm3zP461FuU5dWOsDXD7-*EF3LjzG16POa/wema.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia mwilini mwake. Wema Sepetu. Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu. NI...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovBjjNQuDV8frB8MTVk5vLHTqjo*xUP8E7GC0nUiEiWO3Eb5lc*7ckKDNkbu7227EnnQHerVXL5JNZ7mslmTh-dd/kumbiana.jpg?width=650)
KUAMBIANA: KIPIGO KIMEWAPA ADABU WEMA, AUNT
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2Mhd95G38x0-GPkRWVxbgB2h1C4Q-qpjz35gjBf2d7Tdzb1onFaqcoH2kfNgXbFdORBhuyddVqum7TGVnpQeQt/tiko.jpg?width=650)
TIKO ATESWA NA MKOROGO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/viirmOBcoEFeO7XL1OBSb0ekw8BoHwqnVzSsF5*71LkcMxprihDF*N0kB*Y7*IaYHI1ZkbVPAaiSLiazb-aQy2iYR673ek8z/Maureencropnew.jpg?width=650)
MAUREEN AACHA MKOROGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXXQzYNuGiA8loCJq3sYmDUo7QIKJ*V09V1p4FvLmHepc2g5gZyNIEZ56Lw8qlab3G-h7pixx-lckZxd36oyfk3S/mainda.jpg)
MAINDA NA UGUMU WA KUACHA MKOROGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EwLJgW6X-wXsASYapn4rG7V673y8P8aEb88xk4LWm0Q2ExiEZZJX-Wkd89fJ4kcTuKg7VB9uz1PLciKthekwUqEJn12JJ4B6/amini.jpg?width=650)
MWEZI MTUKUFU MKOROGO UTANIKOMA - MAIMARTHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DS3fBDgklopdOX8udY0pK0mgOHwZDajuBP9jcEda9PlOtall1vjCT7bYh99Yx499I0brzRDqHv3-BQUPMz42oJzDIwQNUu9D/jacobstevenjb.jpg)
JB: JESHI LILINITIA ADABU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KOwdycLvXTywF4ka0f1kAhAY1Sd3IAP1dw*EbO*x7KQmGwuQ9qy9r-n1eDZr84RuzO3M1v6HuR52qsFvwh7nRazDaa60LRT/njembacopy.jpg?width=650)
NJEMBA ASHIKISHWA ADABU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*oug5NmDOByu5OQ3KWjlZzAGDHx8VBy4at8wEHItmmOEF*4KTZMXXrA*MHbNt95IJQiVD3NGtmEMuQv3cO1VMwd/sauda.jpg)
‘SAUDA MWILIMA ACHA MKOROGO’
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Nyoshi: Nimetumia mkorogo tangu miaka sita
NA RHOBI CHACHA
MWIMBAJI na kiongozi wa Bendi ya Fm Academia, Nyoshi Elsaadat, amesema alianza kuchubua ngozi ya uso wake kwa mkorogo tangu akiwa na miaka sita.
Nyoshi anawashangaa wanaomuona wa ajabu huku akidai kujichubua kwake ni kujipamba kama wanamuziki wengi wa Kongo wafanyavyo.
“Sioni ajabu kupaka mkorogo, nimeanza tangu nikiwa darasa la sita hadi leo ni miaka mingi pia napaka kwa kuwa ni mwanamuziki ninayejua kujipamba nashangaa wanaonishangaa,’’ alisema Nyoshi.