KUAMBIANA: KIPIGO KIMEWAPA ADABU WEMA, AUNT

Stori: Imelda Mtema ‘DAIREKTA’ na muigizaji wa filamu Bongo, Adamu Phillip Kuambiana amefunguka kuwa kitendo cha kuwatia makofi waigizaji Wema Spetu na Aunt Ezekiel kilikuwa cha kiungwana sababu amewafundisha. Adamu Phillip Kuambiana. Akipiga stori na paparazi wetu, Kuambiana alisema bila kuwa mkali wakati mwingine mambo huwa hayaendi kwenye uigizaji hivyo anapotembeza kichapo kidogo, mambo yanakwenda katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
AUNT AKUMBUKA KIPIGO CHA KUAMBIANA
Stori: Mwandishi Wetu
WAKATI staa wa muvi za Kibongo, Adam Kuambiana akizikwa jana jijini Dar es Salaam, msanii mwenzake Aunt Ezekiel amekumbuka kipigo alichoangushiwa na Kuambiana yeye na Wema, wiki chache zilizopita. Mrembo Aunt Ezekiel. Akiteta na kona hii, jana jijini Dar, Aunt alisema: “Nakumbuka hiyo siku, tulikuwa location, Mikocheni mimi, Wema, Martin Kadinda na wasanii wengine tukirekodi filamu ya Wema. Kuna...
11 years ago
GPL
MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA
Na Mwandishi Wetu
MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia mwilini mwake. Wema Sepetu. Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu. NI...
11 years ago
GPL
UCHAFU WA WEMA, AUNT
Na Imelda Mtema
Uchafu! Picha za madiva wakubwa wa filamu Tanzania, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson zimebambwa na gazeti hili hivi karibuni wakiwa katika hali ya kimalavidavi licha ya kwamba, mmoja ni mke wa mtu, mwingine mchumba. Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, ishu hiyo ilichukua nafasi maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam ambako Wema na Aunt wamepiga kambi kwa ajili ya filamu yao mpya ya Familia. Ilidaiwa...
10 years ago
GPL
AUNT: SITAMZIKA WEMA!
Musa mteja ‘Nikifa usije kunizika, ukifa sitakuzika’! Ni maneno makali sana kuyatamka kiasi kwamba, enzi za wahenga ilipotokea ndugu, marafiki au majirani wakaapishana kwa maneno hayo, walitafutwa wazee wenye hekima ili kuondoa laana hiyo. Msanii wa sinema Bongo movie Aunt Ezekiel Grayson. Sasa, hivi karibuni, baada ya kuvunjika kwa urafiki wa ‘kupika na kupakua’ kati ya mashostito wawili walio katika...
11 years ago
GPL
WEMA, AUNT WAMWINGIZA MKENGE JB
IMEKULA kwake! Wauza nyago kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wamemuingiza mkenge staa mwenzao, kaka mkubwa Jacob Steven ‘JB’ baada kukubali mwaliko kisha kumkatalia dakika za mwisho. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu. Habari za ndani zilidadavua kwamba JB na wasanii hao walitakiwa kusafiri kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kujifunza utamaduni wa huko ambapo walipelekwa...
9 years ago
GPL
WEMA, AUNT WAKWEPANA IKULU
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Na Richard Bukos MAHASIMU wawili katika anga la mastaa, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wiki iliyopita walikwepana na kushindwa kusalimiana, licha ya wote kuwa waalikwa katika hafla maalum ya kujipongeza iliyofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Â Aunt Ezekiel. Gazeti hili ambalo pia lilikuwepo kwenye viwanja hivyo vilivyosheheni mastaa wa fani mbalimbali, liliwaona wawili hao ambao awali...
10 years ago
GPL
WEMA, AUNT BIFU UPYA!
Waandishi Wetu
URAFIKI wa mashaka! Mastaa wawili wa filamu Bongo, ambao walikuwa mashosti kwa muda mrefu kabla ya kidudumtu kuingilia kati hivi karibuni na kusuluhishwa, hivi sasa bifu kati yao limeanza upya, Risasi Mchanganyiko linakujuza.....Soma zaidi===>http://bit.ly/1L8FQxj
10 years ago
GPL
AUNT,WEMA VILIO TUPU!
Imelda Mtema
Baada ya kula viapo vya kutozikana, wasanii wawili wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Aunt Ezekiel Grayson wamejikuta wakiangua vilio wakati wakipatanishwa na rafiki yao mkubwa ambaye ni pedeshee anayejulikana kwa jina la Daudi Mambya. Aunt Ezekiel akimbembeleza Wema baada ya kupatanishwa. Habari kutoka kwa shuhuda wetu zilieleza kwamba, tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ufukwe...
11 years ago
GPL
AUNT ATIMULIWA KWA WEMA!
Stori: iMELDA MTEMA
TIMBWILI la aina yake limetokea nyumbani kwa ‘Beautiful Onyinye’ wa Bongo, Wema Sepetu, kati ya Martin Kadinda na nyota wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, ‘Kubwa’ lina kisa klizima. Kwa mujibu wa chanzo chetu, gogoro zima lilishika nafasi asubuhi ya Aprili 6, 2014 nyumbani kwa Wema, Makumbusho jijini Dar es Salaam, kufuatia Kadinda ambaye ni meneja wa Wema kumvurumishia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania