Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT AKUMBUKA KIPIGO CHA KUAMBIANA

Stori: Mwandishi Wetu
WAKATI staa wa muvi za Kibongo, Adam Kuambiana akizikwa jana jijini Dar es Salaam, msanii mwenzake Aunt Ezekiel amekumbuka kipigo alichoangushiwa na Kuambiana yeye na Wema, wiki chache zilizopita. Mrembo Aunt Ezekiel. Akiteta na kona hii, jana jijini Dar, Aunt alisema: “Nakumbuka hiyo siku, tulikuwa location, Mikocheni mimi, Wema, Martin Kadinda na wasanii wengine tukirekodi filamu ya Wema. Kuna...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KUAMBIANA: KIPIGO KIMEWAPA ADABU WEMA, AUNT

Stori: Imelda Mtema ‘DAIREKTA’ na muigizaji wa filamu Bongo, Adamu Phillip Kuambiana amefunguka kuwa kitendo cha kuwatia makofi waigizaji Wema Spetu na Aunt Ezekiel kilikuwa cha kiungwana sababu amewafundisha. Adamu Phillip Kuambiana. Akipiga stori na paparazi wetu, Kuambiana alisema bila kuwa mkali wakati mwingine mambo huwa hayaendi kwenye uigizaji hivyo anapotembeza kichapo kidogo, mambo yanakwenda katika...

 

9 years ago

StarTV

Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0

Siphiwe Tshabalala alipigia msumari wa moto jeneza la Free State jana

TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL



KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.

Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.

Baada ya mechi hiyo dhidi ya...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA KUAMBIANA SUMU YATAJWA

Stori: OSCAR NDAUKA
KIFO cha ghafla cha mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana  kimeibua mazito ya kutosha, Uwazi limeshika kitu mkononi.
Moja kati ya mazito hayo ni kuwepo kwa madai kwamba marehemu alikula au alilishwa sumu kupitia chakula. Mwili wa mwigizaji na mwongoza filamu za Kibongo, Adam Philip Kuambiana ukipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kwa mujibu wa rafiki mmoja wa karibu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Proin yaomboleza kifoa cha Kuambiana

KAMPUNI ya Proin Promotions Limited ambao ni waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents, wametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa marehemu, Adam Kuambiana, aliyefariki hivi karibuni...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA KUAMBIANA, KOLETA AZIMIA, ALAZWA

Na Nyemo Chilongani
BAADA ya kupewa taarifa za msiba wa Adam Kuambiana, staa wa filamu za Kibongo, Coletha Rymond ‘Koleta’ alijikuta akizimia na kulazwa katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar. Staa wa filamu za Kibongo, Coletha Rymond ‘Koleta’ akiwa hospitali baada ya kuzimia kwenye msiba wa msanii mwenzake Kuambiana. Sosi ambaye ni mtu wa karibu na staa huyo, alipenyeza habari kuwa Koleta alishindwa...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA KUAMBIANA... STEVE NYERERE: PIGO KWA MADAIREKTA

Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ akisoma wasifu wa Adam Phillip Kuambiana. Na Mayasa Mrisho MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuondokewa na Adam Kuambana ni pigo kubwa kwa tasnia ya filamu lakini zaidi pengo lake linajidhihirisha katika eneo la madairekta. Akizungumza na paparazi wetu, Steve alisema katika tasnia ya...

 

11 years ago

GPL

MANJI AKUBALI KIPIGO CHA 3-1

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuf Manji, amekubali kipigo cha 3-1 kutoka kwa Simba na kusema asitupiwe lawama mchezaji wala kiongozi yeyote kwa matokeo ya jana. Manji ameyasema hayo leo wakati akiongea na wanahabari katika makao makuu ya timu yake yaliyopo  Mtaa wa Twiga na Jangwani baada ya mechi ya jana ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga, kwenye mchezo wa...

 

10 years ago

Mtanzania

JK afichua kipigo cha Lipumba

kkNa Fredy Azzah

SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria na atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, ambaye yuko nchini kwa ziara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani