KIFO CHA KUAMBIANA... STEVE NYERERE: PIGO KWA MADAIREKTA
![](http://api.ning.com:80/files/4S4DUD84Vb7dKOGX2xLtSV8Up3ntckWlLP*4ifbxVRMBaoA7LjBXMZHL7Xl0t1xx-xAQMorBC9UTmPXOzw6mILjIsbKlBZ7o/APK4b.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ akisoma wasifu wa Adam Phillip Kuambiana. Na Mayasa Mrisho MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuondokewa na Adam Kuambana ni pigo kubwa kwa tasnia ya filamu lakini zaidi pengo lake linajidhihirisha katika eneo la madairekta. Akizungumza na paparazi wetu, Steve alisema katika tasnia ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
JB na Steve Nyerere wadaiwa kuvutana mashati msibani mwa Adam Kuambiana. Chanzo ni pesa
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Jakob Steven Jb na Steve Magele Nyerere wamepiga nguvu kavukavu karibu na eneo la msiba wa marehemu Adam Kuambiana huko Bunju huku kisa kikiwa kugeukana kwenye dili la matangazo.
Kwa mujibu wa tovuti ya maskanibongotz zilisema kuwa msanii steve nyerere ndiye aliyeanza kumchokoza msanii Jb kwa kumchana baada ya kumgeuka kwenye mchongo wa matangazo ya kampuni moja ya simu iliyopo maeneo ya Moroco Jijini Dar.
Habari zaidi zilisema wakati...
10 years ago
CloudsFM26 Sep
STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI
ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni.
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco,Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
10 years ago
Mtanzania03 Mar
JK: Kifo cha Komba ni pigo
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, wabunge, viongozi wa Serikali na wanasiasa wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, huku akisema kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe ni pigo.
Alisema kifo cha Kapteni Komba kimeliondolea Taifa mmoja wa viongozi wake wazuri, msanii mahiri, raia mwema na mzalendo wa kweli.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana, Rais...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Sugu: Kifo cha Gurumo ni pigo
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ambaye pia ni gwiji la muziki wa kizazi kipya, amesema kifo cha mwanamuziki nguli wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, ni pigo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIm5dXp4wsQsMDZdIEH5WW34-akrC718ewKBGTNtexEOccZQSaHwHcQo32lEtMW0LTMs2PdgYiE2eIGHLBHXMYXh/kuambiana.jpg)
KIFO CHA KUAMBIANA SUMU YATAJWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFWZ*okgBKbPmv0-G-yXhzLcKXJqJKjr19kT0r0H1m5h4dGqV6EeSkijHN6F8aexxWHdJrlrZ8AhZ47hVmkrSDtv/koleta.jpg?width=650)
KIFO CHA KUAMBIANA, KOLETA AZIMIA, ALAZWA
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UzngKzXVXGA/U77z1Z-eUpI/AAAAAAAA9MM/kyh2f3Nl448/s72-c/IMG_0851.jpg)
STEVE NYERERE AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WASANII WA FILAMU NA WADAU
![](http://1.bp.blogspot.com/-UzngKzXVXGA/U77z1Z-eUpI/AAAAAAAA9MM/kyh2f3Nl448/s1600/IMG_0851.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-gWeqpZitCEw/U77zsvsLWaI/AAAAAAAA9Ls/BQPPi7XcyX8/s1600/IMG_0826.jpg)
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini maneno yaliyokuwa yakitolewa na Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Vv9MDc9jPFA/U77zk7i7lnI/AAAAAAAA9LU/EhWMKVq2fNg/s1600/IMG_0817.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6kGn-PySNhY/U77zFM2zL6I/AAAAAAAA9LI/uvRhM0t3ZUY/s1600/IMG_0810.jpg)
11 years ago
MichuziSTEVE NYERERE ATEULIWA KUONGOZA KIKOSI CHA WASANII KUTANGAZA AMANI NCHI NZIMA