STEVE NYERERE ATEULIWA KUONGOZA KIKOSI CHA WASANII KUTANGAZA AMANI NCHI NZIMA
Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere a.k.a 'Steve Nyerere' (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juzi baada ya kuteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Wasanii wa nje ya Bunge Maalum. kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza nje ya bunge, Renatus Muadhi, na katikati ni Mwenyekiti wa Taasisis hiyo, Agustino Matefu.
Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
STEVE NYERERE AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WASANII WA FILAMU NA WADAU


Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini maneno yaliyokuwa yakitolewa na Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere.


10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Steve Nyerere Kutangaza Nia Leo, Viwanja Vya Kinondoni Bwawani
Tuungane rasmi nami katika kutangaza nia kinondoni. Ndugu zangu punde mtakuwa na mkutano mkubwa kinondoni bwawani. Sehemu ambayo mimi nimezaliwa na kusoma na kuishi apo. So natangaza nia rasmi kuwa naweza kuwa mfano kwa vijana wenzangu. Kinondoni tumekuwa na mateso mbali mbali.
Kwa mfano mafuriko akuna kiongozi aliyeweza tatua, bara bara, mikopo midogo midogo kwa kina mama, ajila kwa vijana, ongezeko la ada mashuleni kupanda nani anakemea , uchafu wa wilaya, tiba kwa wazazi wetu leo mzazi...
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE: WASANII TUWEKEZE PSPF
10 years ago
Bongo Movies06 May
Steve Nyerere Kugombea Ubunge Awatetee Wasanii
Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ anasema kuwa anatarajia kuingia katika kinyang’anyiro cha Ubunge huku lengo kuu kuwa sauti ya wasanii ambao anaamini wanakosa mtu wa kuwakilisha matatizo yao katika Serikali na anaona ni wakati muafaka yeye kuingia Bungeni.
Naamini kabisa kuwa karibu na Serikali ndio mwanzo mwa kutatuliwa kwa matatizo yetu katika tasnia ya filamu na muziki pia, nitatangaza nia kuchukua moja kati majimbo makubwa kabisa hapa Dar, na kuingia Bungeni kwa kazi...
10 years ago
Bongo Movies09 Jul
Ni Wakati Wetu Wasanii Kusimama- Steve Nyerere
~~MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wa filamu wana nafasi kubwa katika uongozi kwa ni kivutio cha wapiga kura kwa mantiki ni wakati wao kushiriki katika hatamu za uongozi, na kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
"Ni kweli tunahitaji mabadiliko katika utawala lakini hilo litafanikiwa tu pale tutaposhiriki kujiandikisha katika Daftari la mpiga kura, kama nilivyosema badala ya kusimama badala ya mgombea sasa tunasimama...
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE: WASANII FEKI WANAICHAFUA BONGO MUVI
9 years ago
Bongo519 Nov
Steve Nyerere: Nilimwambia Magufuli kuwasaidia wasanii wa filamu ni kupoteza pesa

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Club, Steve Nyerere amesema aliulizwa kwa zaidi ya mara sita na Rais Dk John Magufuli kuhusu nsaada wanaouhitaji, lakini amedai alishindwa kumjibu kutokana na wasanii wengi kutojitambua.
Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Steve alisema alimwambia Magufuli asipoteze pesa ya serikali kuwasaidia wasanii wa filamu.
“Sikatai,” alisema Steve. “Nilishamwambia mheshimiwa rais, utapoteza pesa zako, nilisha mwambia mstaafu na huyu mpya...
11 years ago
Bongo521 Aug
Steve Nyerere azungumzia tuhuma za kutumia cheo vibaya kuwanyonya wasanii wenzake