Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVE NYERERE: WASANII FEKI WANAICHAFUA BONGO MUVI

Stori: Mayasa Mariwata MWENYEKITI wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuwa kuna baadhi ya wasanii feki wana tabia chafu zinazoichafua taasisi hiyo, jambo ambalo hawezi kukubaliana nalo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ akisisitiza jambo. Akipiga stori na paparazi wetu, kiongozi huyo alisema anashangazwa na wasanii hao wengi wao wakiwa wa kike ambao skendo kwao...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

MPASUKO Bongo movies! Steve nyerere adaiwa kuingia mitini na hela za maandalizi ya maombi ya wasanii waliofariki

Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha) mwingi wa klabu kwa masilahi yake

Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho ndani ya klabu hiyo, juzikati viongozi wote wa klabu hiyo walikaa kikao kilichoitishwa na katibu wao, William Mtitu ambacho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kumwajibisha Steve Nyerere kwa madai hayo.

“Kuna...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MUVI WAPEWA SEMINA NA TCRA

 Mkurungezi wa Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA, Dk.Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari juu ya semina ya kuwapiga brashi wa wasanii wa bongo Movie leo jijini Dar Dar es Salaam. Afisa Mwandamizi Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Huduma za Bidhaa za Mawasiliano wa TCRA,Thadeo Ringo akizungumza na baadhi na wasanii waliohudhuria semina hiyo hawapo pichani iliyoyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi  Makao Makuu,Kitengo cha Kuzuia Uhalifu...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE: WASANII TUWEKEZE PSPF

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Stori: mwandishi wetu
MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewataka wasanii wa filamu na muziki nchini kujiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF ili kujiwekea akiba kuepuka maisha ya shida baada ya kuachana na shughuli wanazozifanya hivi sasa. “Wasanii wengi tunafanya kazi bila kujiwekea akiba kwa...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE: BONGO MOVIE WATANIKUMBUKA!

Na Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuwa ana mengi ya kujivunia katika klabu hiyo ambayo anaamini yatawafanya wasanii wakumbuke kipindi cha uongozi wake. Msanii wa filamu Bongo aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ Akipiga stori na paparazi wetu, Steve alisema kuna vitu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ni Wakati Wetu Wasanii Kusimama- Steve Nyerere

~~MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amefunguka kwa kusema kuwa wasanii wa filamu wana nafasi kubwa katika uongozi kwa ni kivutio cha wapiga kura kwa mantiki ni wakati wao kushiriki katika hatamu za uongozi, na kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.

"Ni kweli tunahitaji mabadiliko katika utawala lakini hilo litafanikiwa tu pale tutaposhiriki kujiandikisha katika Daftari la mpiga kura, kama nilivyosema badala ya kusimama badala ya mgombea sasa tunasimama...

 

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Kugombea Ubunge Awatetee Wasanii

Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ anasema kuwa anatarajia kuingia katika kinyang’anyiro cha Ubunge huku lengo kuu kuwa sauti ya wasanii ambao anaamini wanakosa mtu wa kuwakilisha matatizo yao katika Serikali na anaona ni wakati muafaka yeye kuingia Bungeni.

Naamini kabisa kuwa karibu na Serikali ndio mwanzo mwa kutatuliwa kwa matatizo yetu katika tasnia ya filamu na muziki pia, nitatangaza nia kuchukua moja kati majimbo makubwa kabisa hapa Dar, na kuingia Bungeni kwa kazi...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AJIUZULU URAIS BONGO MOVIE

Aliyekuwa Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere. Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram. Amedai kuna mbinu chafu dhidi yake.

 

5 years ago

Bongo5

Bongo Movie Tuacheni Visingizio – Steve Nyerere

Baada ya maandamano ya wasanii wa filamu nchini yaliyofanyika Jumatano hii katika mtaa wa Aggrey Kariakoo, msanii wa tasnia hiyo Steve Mengele Nyerere amefunguka kuhusu tukio hilo.

Akiongea na waandishi wa habari, Steve ameeleza kuwa sababu ya yeye kutokuungana na wasanii wenzake kuandamana ni kwa kuwa jambo hilo halioni kama lina tija kwake.

“Binafsi ninalipinga hili, wasanii tunataka kutumika ndivyo sivyo. Mimi siwezi tu kuambiwa kuwa kuna maandamano nikaenda.

“Tunavyosema filamu za nje...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Nitavunja makundi Bongo Movie

MWENYEKITI mpya wa klabu ya Bongo Movie, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’, ameahidi kuvunja tofauti za makundi na tabaka la wasanii wakongwe na chipukizi na kuwa kitu kimoja katika kupigania mafanikio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani