Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WA BONGO MUVI WAPEWA SEMINA NA TCRA

 Mkurungezi wa Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA, Dk.Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari juu ya semina ya kuwapiga brashi wa wasanii wa bongo Movie leo jijini Dar Dar es Salaam. Afisa Mwandamizi Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Huduma za Bidhaa za Mawasiliano wa TCRA,Thadeo Ringo akizungumza na baadhi na wasanii waliohudhuria semina hiyo hawapo pichani iliyoyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi  Makao Makuu,Kitengo cha Kuzuia Uhalifu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WASANII BONGO WAPEWA SEMINA

Mwendesha shughuli hiyo, Ruge Mutahaba akizungumza jambo. Muigizaji, Tellence J akiongea mbele ya wasanii wa Bongo leo. Tellence J na Shaka Zulu.…

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVOUR WAIKACHA SEMINA MUHIMU YA TCRA

 Nick wa Pili na G-Nako walihudhuria semina hiyoRapper Nick wa Pili ambaye ni mmoja ya wasanii waliolikwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwenye semina inayohusu masuala ya uhalifu wa mtandaoni Alhamis hii, ameshangazwa na muitikio hafifu wa wasanii wenzake.Viti vitupu!
Nick amesema kati ya wasanii 70 waliokuwa wamealikwa kwenye semina hiyo, ni chini ya wasanii watano waliohudhuria.
“Tupo katika seminar ya wasanii wa bongo fleva iliyoandaliwa na TCRA….imeuzuriwa na viongozi wa juu na...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE: WASANII FEKI WANAICHAFUA BONGO MUVI

Stori: Mayasa Mariwata MWENYEKITI wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuwa kuna baadhi ya wasanii feki wana tabia chafu zinazoichafua taasisi hiyo, jambo ambalo hawezi kukubaliana nalo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ akisisitiza jambo. Akipiga stori na paparazi wetu, kiongozi huyo alisema anashangazwa na wasanii hao wengi wao wakiwa wa kike ambao skendo kwao...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya Semina ya Wasanii Bongo Movie

 Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere(kati) akifafanua jambo kuhusiana na Semina ya Wasanii Bongo Movie itakayofanyika Siku ya Ijumaa kwenye Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Dar es Salaam, kulia ni mkurugenzi wa Kampuni ya Chief Promotion, Amon Mkoga na Meneja Msaidizi wa PSPF, Matrida Nyallo. katika hafla iliyo fanyika kwenye Ukumbi wa Idara Habari Maelezo.

 

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA WASANII WA BONGO MOVI KUFANYIKA IJUMAA 21 FEBUARI 2014 KATIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI

Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion Amoni Mkoga (kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam 18 Februari-214 kuhusina na maandalizi ya semina ya hatimilki kwa wasanii wa bongo movi itakayofanyika katika ukumbi wa Vijana kinonondoni 21-Februari 2014 (katikati), Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengeze (kushoto), Meneja Msaidizi Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Matilda Nyallu.

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA BONGO MOVIE

   Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu (kushoto) akisalimiana na msanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi (kulia) ni msanii Ester Kiama.  Baadhi ya wasanii wakijadiliana jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF'  Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere a.k.a 'Steve...

 

10 years ago

GPL

BONGO MUVI WACHAFUKA!

Na: Gladness Mallya na Imelda Mtema
JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho walifanya kwa manufaa yao binafsi. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ . Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa marehemu wanalalamika kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani