Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA WASANII WA BONGO MOVI KUFANYIKA IJUMAA 21 FEBUARI 2014 KATIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI

Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion Amoni Mkoga (kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam 18 Februari-214 kuhusina na maandalizi ya semina ya hatimilki kwa wasanii wa bongo movi itakayofanyika katika ukumbi wa Vijana kinonondoni 21-Februari 2014 (katikati), Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengeze (kushoto), Meneja Msaidizi Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Matilda Nyallu.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wasanii Bongo movi waenda Uturuki

Wasanii wanne wa filamu nchini wameondoka nchini usiku wa kuamkia jana kwenda Uturuki, ambako watajifunza utamaduni wa nchi hiyo pamoja na kukutana na wasanii wakubwa wa filamu wa nchi hiyo.Wasanii walioondoka nchini ni pamoja na Amri Athumani ‘Mzee Majuto’, Vincent Kigosi ‘Ray’, Irine Uwoya na Jacob Steven ‘JB’.

 

11 years ago

GPL

WASANII BONGO WAPEWA SEMINA

Mwendesha shughuli hiyo, Ruge Mutahaba akizungumza jambo. Muigizaji, Tellence J akiongea mbele ya wasanii wa Bongo leo. Tellence J na Shaka Zulu.…

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya Semina ya Wasanii Bongo Movie

 Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere(kati) akifafanua jambo kuhusiana na Semina ya Wasanii Bongo Movie itakayofanyika Siku ya Ijumaa kwenye Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Dar es Salaam, kulia ni mkurugenzi wa Kampuni ya Chief Promotion, Amon Mkoga na Meneja Msaidizi wa PSPF, Matrida Nyallo. katika hafla iliyo fanyika kwenye Ukumbi wa Idara Habari Maelezo.

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MUVI WAPEWA SEMINA NA TCRA

 Mkurungezi wa Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA, Dk.Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari juu ya semina ya kuwapiga brashi wa wasanii wa bongo Movie leo jijini Dar Dar es Salaam. Afisa Mwandamizi Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Huduma za Bidhaa za Mawasiliano wa TCRA,Thadeo Ringo akizungumza na baadhi na wasanii waliohudhuria semina hiyo hawapo pichani iliyoyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi  Makao Makuu,Kitengo cha Kuzuia Uhalifu...

 

10 years ago

Michuzi

Uongozi wa msanii T.I washiriki semina ya fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki ndani ya ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar

 Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuwasili chini , kwa ajiri ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta 2014 hapo kesho katika viwanja vya Lidaz Club jijini Dar, Jonson Geter wa kwanza kushoto akifafanua jambo moja ya swali lililoulizwa na mmoja  wasanii walioshiriki kwenye semina ya fursa ndogo ya Wasanii na wadau wa muziki iliyofanyika kwenye ukumbi wa Litle Theather,jijini Dar,Pichani kulia ni Prodyuza  mahiri wa Muziki wa hapa nchini anayemiliki studioo yake ya Bongo...

 

11 years ago

Michuzi

PPF YAANDIKISHA WANACHAMA WAPYA KATIKA TAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA LINALOENDELEA KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DAR LIVE

Mama Asha Bilali akimkabidhi Cheti Cha Udhamini kwa Meneja Mahusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF katika tamasha la wanawake na akiba linaloendelea kufanyika Katika ukumbi wa Dar Live wilaya ya Temeke ,Jijini Dar Es Salaam. Meneja mahusiano na Masoko wa mfuko wa pensheni wa PPF Bi Lulu Mengele akitoa hotuba fupi kwa washiriki waliohudhuria tamasha la wanawake na akiba ambapo PPF ilishiriki ili kuweza kutoa elimu kwa Washiriki kuweza kujua umuhimu wa kuchangia na mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVOUR WAIKACHA SEMINA MUHIMU YA TCRA

 Nick wa Pili na G-Nako walihudhuria semina hiyoRapper Nick wa Pili ambaye ni mmoja ya wasanii waliolikwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwenye semina inayohusu masuala ya uhalifu wa mtandaoni Alhamis hii, ameshangazwa na muitikio hafifu wa wasanii wenzake.Viti vitupu!
Nick amesema kati ya wasanii 70 waliokuwa wamealikwa kwenye semina hiyo, ni chini ya wasanii watano waliohudhuria.
“Tupo katika seminar ya wasanii wa bongo fleva iliyoandaliwa na TCRA….imeuzuriwa na viongozi wa juu na...

 

11 years ago

Michuzi

MISS MANYARA 2014 KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA CCM MJINI BABATI

Na Woinde Shizza, Manyara   Kinyanganyiro cha kugombea Redd's Miss Manyara 2014, kinatarajia kufanyika kesho Jumamosi Juni 14 mwaka huu katika ukumbi wa CCM Mkoa, mjini Babati, ambapo warembo 10 wanatarajia kuchuana.   Mkurugenzi wa Mirerani Entertainment, Akon Clement ambaye ni Mratibu wa mashindano hayo alisema mgeni rasmi wa mashindano hayo anatarajiwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mary Nagu.   Akon alisema msanii maarufu wa kizazi kipya, Bob Junior...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani