Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii Bongo movi waenda Uturuki

Wasanii wanne wa filamu nchini wameondoka nchini usiku wa kuamkia jana kwenda Uturuki, ambako watajifunza utamaduni wa nchi hiyo pamoja na kukutana na wasanii wakubwa wa filamu wa nchi hiyo.Wasanii walioondoka nchini ni pamoja na Amri Athumani ‘Mzee Majuto’, Vincent Kigosi ‘Ray’, Irine Uwoya na Jacob Steven ‘JB’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA WASANII WA BONGO MOVI KUFANYIKA IJUMAA 21 FEBUARI 2014 KATIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI

Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion Amoni Mkoga (kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam 18 Februari-214 kuhusina na maandalizi ya semina ya hatimilki kwa wasanii wa bongo movi itakayofanyika katika ukumbi wa Vijana kinonondoni 21-Februari 2014 (katikati), Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengeze (kushoto), Meneja Msaidizi Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Matilda Nyallu.

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars waenda Uturuki

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ilitarajia kuondoka leo alfajiri kwenda Uturuki kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria, Super Eagles, katika mchezo wa Kundi G wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.

 

11 years ago

GPL

MSTUKO: MSANII RACHEL HAULE WA BONGO MOVI AFARIKI DUNIA!

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es…

 

10 years ago

Vijimambo

MCHEZA SINEMA WA BONGO MOVI CHARLES MAGALI ATEMBELEA KILIMANJARO STUDIO, WASHINGTON, DC.

 Kutoka kushoto ni One Mic akiwa pamoja na Dj MO ndani ya studio ya Kilimanjaro zilizopo Beltsville, Maryland nchini Marekani. Mcheza sinema wa Bongo Movi, Charles Magali ambaye pia ni mwimbaji wa nyimbo za dansi(kushoto) akiwa na mwenyeji wake Kenyatta wakiwa ndani ya Studio ya Kilimanjaro. Charles Magali akifanyiwa mahojiano na matangazaji mahairi wa Radio Mubelwa Bandio ndani ya studio ya Kilimanjaro iliyopo Beltsville, Maryland. Mtangazaji mahiri wa Radio na muuliza maswali tata, Mubelwa...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani