Uongozi wa msanii T.I washiriki semina ya fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki ndani ya ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-JVypfWRIQXA/VEDpqAKw93I/AAAAAAAGrMA/I-_qNTbfTsM/s72-c/7.jpg)
Meneja wa Msanii wa Kimataifa T.I anayetarajiwa kuwasili chini , kwa ajiri ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta 2014 hapo kesho katika viwanja vya Lidaz Club jijini Dar, Jonson Geter wa kwanza kushoto akifafanua jambo moja ya swali lililoulizwa na mmoja wasanii walioshiriki kwenye semina ya fursa ndogo ya Wasanii na wadau wa muziki iliyofanyika kwenye ukumbi wa Litle Theather,jijini Dar,Pichani kulia ni Prodyuza mahiri wa Muziki wa hapa nchini anayemiliki studioo yake ya Bongo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eaexLD4YO2s/UwhSwvZpRsI/AAAAAAAAdrI/fe8G7la7X0k/s72-c/001.jpg)
SEMINA YA WASANII WA MBALIMBALI WA MUZIKI NA FILAMU YAFANYIKA JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-eaexLD4YO2s/UwhSwvZpRsI/AAAAAAAAdrI/fe8G7la7X0k/s1600/001.jpg)
11 years ago
MichuziWAANDISHI NA WADAU WA HABARI WAJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF HAPO JANA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Msanii wa Bongo Movie Ester Kiama afuturisha wasanii wenzake jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-q1HH4vkWT4U/U9ZNcUvbU0I/AAAAAAAA-No/7fkpptgDKos/s1600/IMG_2932.jpg)
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa shukrani zake kwa waalikwa, alisema ameona vyema kuandaa chakula cha pamoja ili waweze kumuenzi mama yao mzazi kwa vile alipenda sana watu hasa kukutana na kupata chakula pamoja.
![](http://4.bp.blogspot.com/-siRZUwT185A/U9ZNfzoILhI/AAAAAAAA-N4/fQ7ALu1IESw/s1600/IMG_2936.jpg)
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akiendelea kutoa shukrani zake za pekee.
Mjomba wa Msanii...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Best Records kuwapa semina wasanii wa muziki
MKURUGENZI wa studio ya Best Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Benjamin Nzogu, amesema wanakusudia kuanza kutoa semina kwa wasanii wote wanaofika kurekodi nyimbo zao kwao, hasa kwa wale wanaoonekana...
10 years ago
VijimamboSABASABA WINDHOEK LUNCH PARTY ILIVYOJUMUISHA WADAU WA VIP WAKITAIFA NA KIMATAIFA KATIKA UKUMBI WA DANKEN HOUSE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM