SABASABA WINDHOEK LUNCH PARTY ILIVYOJUMUISHA WADAU WA VIP WAKITAIFA NA KIMATAIFA KATIKA UKUMBI WA DANKEN HOUSE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited James Rugemalira akitangaza nia na kuwakaribisha wageni mbalimbali katika hafla hiyo ya Sabasaba Windhoek Lunch Party.
Bwana Rugemalira (kulia) akimweleza jambo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kansa kutoka nchini India Profesa. Antony Pais walipokutana katika hafla hiyo.
Bwana James Rugemalira (kulia), akiteta jambo na Mwenyekiti wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi Mkoa wa Tanga, Chris Incheul Chae ambaye pia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fXN_c5dJraM/U7PKebR5KUI/AAAAAAAFuK0/OXMt5hIWU20/s72-c/b1.jpg)
PSPF katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam a.k.a Sabasaba
![](http://1.bp.blogspot.com/-fXN_c5dJraM/U7PKebR5KUI/AAAAAAAFuK0/OXMt5hIWU20/s1600/b1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-AlOMYXzZOFA/U7PKeWvFtOI/AAAAAAAFuKs/2i4nilh7ptQ/s1600/b2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jFOM4_XTWWY/U7PKeX9cX8I/AAAAAAAFuKo/aXpHq5V1F_U/s1600/b3.jpg)
10 years ago
Michuzi23 Aug
MASAI SAFARI BENDI KUZINDUA ALBUM AGOSTI 30, 2014 UKUMBI WA LUNCH TIME, DAR ES SALAAM
![](https://3.bp.blogspot.com/-a2BQy9X89Og/U_eY9860OPI/AAAAAAAAOTQ/zy0EFaCko_8/s1600/pink-poster-floral-ii-ruth-palmer%2BLAST%2Bcopy.jpg)
BENDI ya Masai Safari ya jijini Dar es salaam inatarajia kuzindua albam yake ya kwanza kabisa watakayozindua siku ya Agosti 30, mwaka huu katika ukumbi wa Lunch Time, Tip Top Manzese jijini Dar.Akizungumzia uzinduzi wa albam hiyo rais wa bendi hiyo Fransic Mwaisela amesema kwamba siku hiyo watasindikizwa na bendi mbalimbali wakiongozwa na bendi ya Extra bongo inayo ongozwa na Ali Choki.Alizitaja nyimbo zilizomo katika albam hiyo ni sita itakayozinduliwa siku hiyo ikiwa nyimbo ambayo...
10 years ago
Michuzi17 Dec
MAONESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bh4mysJ3t_k/U7L0M_Zn6uI/AAAAAAAFt9g/SNW7rAvotDE/s72-c/0L7C3581.jpg)
Taswira mbalimbali katika maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-bh4mysJ3t_k/U7L0M_Zn6uI/AAAAAAAFt9g/SNW7rAvotDE/s1600/0L7C3581.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6Al2ulOd4gw/U7L0OtawyVI/AAAAAAAFt9o/VCzobkhRD7g/s1600/0L7C3580.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-edT_aAjHv-w/U7L0S6M9AgI/AAAAAAAFt94/rbDD6rp1Res/s1600/0L7C3599.jpg)
11 years ago
MichuziWAANDISHI NA WADAU WA HABARI WAJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF HAPO JANA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, JIJINI DAR