Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVE NYERERE AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WASANII WA FILAMU NA WADAU

   Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam.
 Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini maneno yaliyokuwa yakitolewa na Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere. Wasanii wakipata maakuli... Wolper na Kajala wakila...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AWAANDALIA 'DINNER' MASTAA NA WADAU WA FILAMU

Waigizaji na baadhi ya waandishi wa habari wakiwa tayari kusubiri chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. Wolper na Kajala wakibadilishana mawazo wakati wa hafla hiyo.…

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. OMAR MJENGA AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WAHESHIMIWA JANET MBENE, MOHAMMED ABOUD NA MZEE SAMBI.

Mhe. Mjenga alimkaribisha Mzee Sambi, Rais Mstaafu wa ComorosMhe. Omar Mjenga, amewaandalia chakula cha jioni Waheshimiwa Janet Mbene, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara na Mohammed Aboud, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar ambao wamekuwepo Dubai kwa ziara ya kikazi.
Aidha, katika hafla hiyo, Mhe. Mjenga alimkaribisha Mzee Sambi, Rais Mstaafu wa Comoros. Wageni wengine waalikwa ni pamoja na Ndugu Joseph Kusaga na familia yake, Mfanyabiashara Hashimu Lema...

 

9 years ago

Bongo5

Steve Nyerere: Nilimwambia Magufuli kuwasaidia wasanii wa filamu ni kupoteza pesa

11351837_431015323755764_1594616645_n

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Club, Steve Nyerere amesema aliulizwa kwa zaidi ya mara sita na Rais Dk John Magufuli kuhusu nsaada wanaouhitaji, lakini amedai alishindwa kumjibu kutokana na wasanii wengi kutojitambua.

11351837_431015323755764_1594616645_n

Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Steve alisema alimwambia Magufuli asipoteze pesa ya serikali kuwasaidia wasanii wa filamu.

“Sikatai,” alisema Steve. “Nilishamwambia mheshimiwa rais, utapoteza pesa zako, nilisha mwambia mstaafu na huyu mpya...

 

10 years ago

Michuzi

RwandAir yakutana na wadau wake katika chakula cha jioni jijini Dar

Wafanyakazi wa Rwandair wakipozi katika picha ya pamoja na zawadi zao, kushoto ni Lucy Ismail RwandAir country manager, Gladys Buhama na Hamida Hamza Reservation staff na kulia ni Eugene Mugisha Airport Station ManagerRwandAir Tanzania Country Manager, Lucy Ismail akifungua sherehe kwa kukaribisha wageni waalikwa na kutambulisha baadhi ya staff,kulia ni Roshni,Lucy, Mayyada,Gladys na mwisho kushoto ni Naina.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

CloudsFM

Picha: Mh. Rais Kikwete alipowaalika Wasanii chakula cha jioni IKULU ndogo Dodoma, #TanzaniaNaiaminia

Mh. Rais Kikwete akiwaalika wasanii kujumuika nae chakula cha jioni IKULU ndogo mjini Dodoma, baada ya kumaliza uzinduzi wa video ya #TUULINDE amabapo ndani yake wameimba wasanii zaidi ya 15....
#TanzaniaNaiaminia Martin Kadinda, Baby J an Dimpoz Perfect, Izzo B an Quick.... Uwoya, Shamsha an Johari... Jb Shilole an Nuh Mziwanda Fauzia an G... Queen Darleen Wolper... Wolper an Kajala Gerald Hando an Ruge...

 

11 years ago

Michuzi

STEVE NYERERE ATEULIWA KUONGOZA KIKOSI CHA WASANII KUTANGAZA AMANI NCHI NZIMA

 Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere a.k.a 'Steve Nyerere' (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juzi baada ya kuteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Wasanii wa nje ya Bunge Maalum. kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza nje ya bunge, Renatus Muadhi, na katikati ni Mwenyekiti wa Taasisis hiyo, Agustino Matefu.  Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity,...

 

10 years ago

Vijimambo

Karibuni Semina na Chakula cha Jioni — Valentine Day Februari 14, 2015 Kuanzia saa kumi na mbili jioni 6:00pm EST

***   ***   ***   www.iykcolumbus.org   ***   ***   ***Simu: 1-614-664-9564 au 1-614-66-IYK-OH  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani