Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Kifo cha Komba ni pigo

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, wabunge, viongozi wa Serikali na wanasiasa wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, huku akisema kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe ni pigo.
Alisema kifo cha Kapteni Komba kimeliondolea Taifa mmoja wa viongozi wake wazuri, msanii mahiri, raia mwema na mzalendo wa kweli.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana, Rais...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sugu: Kifo cha Gurumo ni pigo

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ambaye pia ni gwiji la muziki wa kizazi kipya, amesema kifo cha mwanamuziki nguli wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, ni pigo...

 

11 years ago

GPL

KIFO CHA KUAMBIANA... STEVE NYERERE: PIGO KWA MADAIREKTA

Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ akisoma wasifu wa Adam Phillip Kuambiana. Na Mayasa Mrisho MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuondokewa na Adam Kuambana ni pigo kubwa kwa tasnia ya filamu lakini zaidi pengo lake linajidhihirisha katika eneo la madairekta. Akizungumza na paparazi wetu, Steve alisema katika tasnia ya...

 

10 years ago

GPL

UNDANI WA KIFO CHA KEPTENI JOHN KOMBA!

Marehemu Kapteni Komba. Picha ya kwanza ya Marehemu komba mara baada ya kufariki dunia.…

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA MWANASIASA MAARUFU; KUMBE SIYO KOMBA

Stori:GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH/Risasi
HUKU maelfu ya Watanzania wakiamini kwamba, kifo cha aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba ndiyo kile kilichotabiriwa na mnajimu Maalim Hassan Hussein Yahya, mwenyewe ameibuka na kusema sicho! Marehemu Kapteni John Damiano Komba.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Kifo cha Kapt Komba: Nihurumieni Jamani!-Lulu

Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni  John  Komba , mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.

Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa , Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina kubwa Bongo.

Habari kutoka kwa chanzo chao makini ambacho ni mtu wa...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA KOMBA MINONG’ONO YAANZA

MWANDISHI WETU/Amani WAKATI mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga-Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba (61) ukizikwa juzi kijijini Lituhi mkoani Ruvuma, minong’ono kuhusiana na marehemu imezungumzwa na baadhi ya waombolezaji, Amani limeinasa. Mbunge wa Mbinga-Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba enzi za uhai wake. Komba alifariki dunia alasiri ya Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Dewji Blog

SHIWATA waombeleza kifo cha Capt. John Komba

KOMBA

Na Mwandishi wetu

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) unaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha Makamu Mwenyekiti wao, John Komba aliyefariki Jumamosi na kuzikwa jana nyumbani kwao kijiji cha Litui, Mbinga mkoa wa Ruvuma.

Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib katika salamu zake za rambirambi alisema mtandao huo umempoteza kiongozi mwadilifu aliyetumia kipaji chake cha usanii kuwaunganisha makundi ya wanamichezo,waigizaji, wasanii wa luninga, bongo movie,wacheza sarakasi na waandishi...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Vijimambo

JITIRIRISHE ALICHOKISEMA LE MUTUZ JUU YA KIFO CHA KOMBA NA MAISHA YA WATU WA UGHAIBUNI

LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK!!;- Morning people U know binadam mwenye akili siku zote hujifunza kwa kuona bila kusubiri kuambiwa.....sihitaji kuambiwa kulichomuua Captain Komba for sure after all is said and done kilichomuua ni UNENE tu hamna lolote lingine I mean kama ni ugonjwa ulianzia kwenye UNENE....now I took a note na tayari nimeshaanza mazoezi tena leo asubuhi I realiza that nilikuwa nimejizembea sana toka nirudi bongo lakini now I got a wake up call na msiba wa Komba.....na it...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani