KIFO CHA KOMBA MINONG’ONO YAANZA
![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PIC1NlqRVekTiHBbgNCTQ28xURbh0duhlt8*3nLjbB-0PCCTi7RQbKoUO0VIzQ*VP5H8sh2nObsP7UgLkVEvctc/Komba.jpg)
MWANDISHI WETU/Amani WAKATI mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga-Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba (61) ukizikwa juzi kijijini Lituhi mkoani Ruvuma, minong’ono kuhusiana na marehemu imezungumzwa na baadhi ya waombolezaji, Amani limeinasa. Mbunge wa Mbinga-Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba enzi za uhai wake. Komba alifariki dunia alasiri ya Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dnCWvahr*Cqs3vsNRTSxc27Q66SR1GALpvEfVL2Vkq83GbZpmT*Q99H7Iw9jm1DJYGoCqcuQcczbgJLD53N23mI6jyjdQdRb/Wolper.jpg?width=650)
KIGAUNI CHA WOLPER CHAIBUA MINONG’ONO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VjQtj38Rxrc35dcuzgVvngwdMl1ygxj9sV-nYa64mbpSDFGww8Ko-7bebl*dUgq9Cp6Ld159fBn7iPFtCpkJ9ZgUj61Mu3ML/Tumbooo.jpg)
SHILOLE TUMBO LALAZUA MINONG’ONO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qSAS7eZtx6DIJVUXuZf8nHkXw026bSbAdPvBMRQ44XZzb8hKGaJAb6J7QedakIdTc5378N8Wq8xqJbdo*TVvtxbCy3yo8tXe/auntezekiel4.jpg?width=650)
AUNT AZUA MINONG’ONO UKUMBINI USIKU
10 years ago
Bongo Movies10 May
Picha ya Aunty na Kajala Kwenye ‘Baby Shower Party’ Yazua Minong’ono Mtandaoni
Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu.
Aunt Ezekiel na Wema Sepetu nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa...
10 years ago
Mtanzania03 Mar
JK: Kifo cha Komba ni pigo
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, wabunge, viongozi wa Serikali na wanasiasa wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, huku akisema kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe ni pigo.
Alisema kifo cha Kapteni Komba kimeliondolea Taifa mmoja wa viongozi wake wazuri, msanii mahiri, raia mwema na mzalendo wa kweli.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana, Rais...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qyn*Uz1WnG89vxSgAswCC9QN-3Um7-TXAknth*iFsZVcvZ21eaYBEJIk3NoTVel-J9bIwrSPLJ4UDMmewna6fryHP3hYsIoz/11.jpg?width=650)
UNDANI WA KIFO CHA KEPTENI JOHN KOMBA!
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d*xx8iAX09WQJXWKZcHjE2z*hoi5eGA3lo9mwVBFBstZB8vcfbY6jm*ijhWBtIy8I0DSfv7jCi*72IjJqTmNITYuDNeD164J/1.jpg)
KIFO CHA MWANASIASA MAARUFU; KUMBE SIYO KOMBA
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Kifo cha Kapt Komba: Nihurumieni Jamani!-Lulu
Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni John Komba , mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa , Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina kubwa Bongo.
Habari kutoka kwa chanzo chao makini ambacho ni mtu wa...