Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT AZUA MINONG’ONO UKUMBINI USIKU

STAA wa kiwango cha juu kupitia filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, kwa mara ya kwanza tangu ajifungue, amezua minong’ono ukumbini. Mpango mzima ulishuhudiwa na gazeti hili usiku kwenye Ukumbi wa Ngome Kongwe, Zanzibar ambapo kulikuwa na Tamasha la Kimataifa la Filamu (ZIFF) ambapo Aunt alitinga akiwa na baadhi ya mastaa wenzake huku baadhi ya watu wakishangaa na kunong’ona kuwa mtoto wake bado ni mdogo iweje...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SHILOLE TUMBO LALAZUA MINONG’ONO

Mwigizaji na Msanii wa Bongo fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Stori: Musa Mateja KITUMBO cha mwigizaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kimezua minong’ono ya aina yake kutoka kwa mashabiki na mastaa mbalimbali na kuwafanya wengi wao wabaki wakibishana kuwa mrembo huyo atakuwa katundikwa ujauzito na mchumba wake Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. Tukio hilo lilitokea hivi… ...

 

11 years ago

GPL

KIGAUNI CHA WOLPER CHAIBUA MINONG’ONO

Stori: Shakoor Jongo MH! Kigauni kifupi alichotinga staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kimeibua minong’ono watu kuhoji kulikoni akivae hivyo ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe Tukio hilo lilowastaajabisha wengi lilijiri...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA KOMBA MINONG’ONO YAANZA

MWANDISHI WETU/Amani WAKATI mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga-Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba (61) ukizikwa juzi kijijini Lituhi mkoani Ruvuma, minong’ono kuhusiana na marehemu imezungumzwa na baadhi ya waombolezaji, Amani limeinasa. Mbunge wa Mbinga-Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba enzi za uhai wake. Komba alifariki dunia alasiri ya Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Aunty na Kajala Kwenye ‘Baby Shower Party’ Yazua Minong’ono Mtandaoni

Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel na Wema Sepetu  nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa  na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa...

 

10 years ago

GPL

AUNT: NILIONANA NA NYALANDU UKUMBINI

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel, amesema hakuna ukweli wowote wa yeye kutanua na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu nchini Marekani, kwani alikutana naye ukumbini, akiwa amealikwa na blog iitwayo Vijimambo ambayo hutangaza utalii wa Tanzania nchini humo kila mwaka. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel .
Alisema wakati wa safari yake hakuelewa lolote kuhusu Waziri Nyalandu na anashangazwa na...

 

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI

Na Shakoor Jongo
STAA wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amejikuta akizichapa na mwanamke aitwaye Sarah Mwakapala ambaye miaka mitano iliyopita waliwahi kugombea penzi la mwanaume anayejulikana kwa jina la Mwilu Mwilola ‘Silva’. Tukio la ugomvi huo lilichukuwa nafasi juzi katika Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo Victoria jijini Dar ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yao aliyetambulika kwa jina la Jamila....

 

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

KOMBE LA DUNIA: USIKU WA WANAUME, ENGLAND NA ITALY SAA SABA USIKU

AADA ya Fainali za Kombe la Dunia kuanza juzi kwa mchezo kati ya Brazil na Croatia, leo kuna mechi nyingine kali kati ya England na Italia. Huu ni mchezo ambao mashabiki wa soka wanausubiri kwa hamu kubwa wakiamini pia utatumika kutoa majibu halisi ya fainali hizo zinazofanyika nchini Brazil.
England na Italia ni nchi ambazo ligi zake ni maarufu sana, huku zikiwa zinafuatiliwa kwa karibu sana na mashabiki wa soka duniani kote. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani