Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNT: NILIONANA NA NYALANDU UKUMBINI

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel, amesema hakuna ukweli wowote wa yeye kutanua na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu nchini Marekani, kwani alikutana naye ukumbini, akiwa amealikwa na blog iitwayo Vijimambo ambayo hutangaza utalii wa Tanzania nchini humo kila mwaka. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel .
Alisema wakati wa safari yake hakuelewa lolote kuhusu Waziri Nyalandu na anashangazwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI

Na Shakoor Jongo
STAA wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amejikuta akizichapa na mwanamke aitwaye Sarah Mwakapala ambaye miaka mitano iliyopita waliwahi kugombea penzi la mwanaume anayejulikana kwa jina la Mwilu Mwilola ‘Silva’. Tukio la ugomvi huo lilichukuwa nafasi juzi katika Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo Victoria jijini Dar ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yao aliyetambulika kwa jina la Jamila....

 

10 years ago

GPL

AUNT AZUA MINONG’ONO UKUMBINI USIKU

STAA wa kiwango cha juu kupitia filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, kwa mara ya kwanza tangu ajifungue, amezua minong’ono ukumbini. Mpango mzima ulishuhudiwa na gazeti hili usiku kwenye Ukumbi wa Ngome Kongwe, Zanzibar ambapo kulikuwa na Tamasha la Kimataifa la Filamu (ZIFF) ambapo Aunt alitinga akiwa na baadhi ya mastaa wenzake huku baadhi ya watu wakishangaa na kunong’ona kuwa mtoto wake bado ni mdogo iweje...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni!!!

 Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia  hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi  hawana ubunifu nakumrushia “bomu”  Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.

Lema alisema;

“Angalia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alikwenda kutangaza utalii nje ya nchi akiwa ameongozana na (mwigizaji maarufu wa filamu wa Tanzania) Anti Ezekiel,” alisema na kuongeza kuwa waziri huyo...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AFUNGUKIA MIMBA YA AUNT EZEKIEL

Mwandishi Wetu Hatimaye Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu na mkewe Faraja Kotta wamejibu tetesi kuwa mheshimiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu akiwa na mkewe Faraja Kotta. Awali tetesi...

 

10 years ago

Mwananchi

Aunt Ezekiel afunguka kuhusu uhusiano wake na Waziri Nyalandu

Umewahi kusikia mwigizaji Aunt Ezekiel akihusishwa na uhusiano na Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu? Basi mwigizaji huyo amefunguka na kuwajia juu wale wote wanaomchafua na kudai kuwa hakuna kama baba wa mtoto wake Mose Iyobo.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI LAZARO NYALANDU AZUNGUMZIA TETESI ZA KUTANUA NA AUNT EZEKIEL NCHINI MAREKANI

Baada ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu(Pichani juu) na msanii wa filamu Aunty Ezekiel kuvinjari nchini Marekani hatimaye waziri huyo Aunt Ezekielalisema tuhuma hizo zimetengenezwa na kundi la watu ambalo miongoni mwao ni baadhi ya viongozi wa Serikali ambao humchafua kutokana na utendaji kazi wake.
Nyalandu alisema alikwenda Marekani septemba12 kwa ajili ya kufungua tamasha la utamaduni na utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ambako...

 

11 years ago

GPL

LULU AWEHUKA UKUMBINI

Stori: Musa Mateja Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani  lina cha kushika mkononi. Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, Ishu hiyo ilitokea Julai 14, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa BoT uliopo maeneo ya...

 

9 years ago

GPL

RAY AANGUA UKUMBINI!

WAANDISHI WETU BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo...

 

11 years ago

GPL

LULU AOGESHWA POMBE UKUMBINI

Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya
Kha! Katika hali isiyoitarajiwa, nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amejikuta akiangua kilio cha ukweli kama mtoto kufuatia kuogeshwa kwa pombe mwilini, jambo ambalo hakulitarajia, Risasi Jumamosi limetonywa.
Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ akimwagiwa pombe kwenye birthday yake. Tukio hilo la aina yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani