KIFO CHA MWANASIASA MAARUFU; KUMBE SIYO KOMBA
![](http://api.ning.com:80/files/d*xx8iAX09WQJXWKZcHjE2z*hoi5eGA3lo9mwVBFBstZB8vcfbY6jm*ijhWBtIy8I0DSfv7jCi*72IjJqTmNITYuDNeD164J/1.jpg)
Stori:GLADNESS MALLYA NA CHANDE ABDALLAH/Risasi HUKU maelfu ya Watanzania wakiamini kwamba, kifo cha aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John Damiano Komba ndiyo kile kilichotabiriwa na mnajimu Maalim Hassan Hussein Yahya, mwenyewe ameibuka na kusema sicho! Marehemu Kapteni John Damiano Komba.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 May
Mwanasiasa maarufu akamatwa N. Ireland
10 years ago
Mtanzania03 Mar
JK: Kifo cha Komba ni pigo
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, wabunge, viongozi wa Serikali na wanasiasa wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, huku akisema kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe ni pigo.
Alisema kifo cha Kapteni Komba kimeliondolea Taifa mmoja wa viongozi wake wazuri, msanii mahiri, raia mwema na mzalendo wa kweli.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana, Rais...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qyn*Uz1WnG89vxSgAswCC9QN-3Um7-TXAknth*iFsZVcvZ21eaYBEJIk3NoTVel-J9bIwrSPLJ4UDMmewna6fryHP3hYsIoz/11.jpg?width=650)
UNDANI WA KIFO CHA KEPTENI JOHN KOMBA!
10 years ago
Vijimambo22 Nov
KIFO CHA TAJIRI MAARUFU BUKOBA, DAKTARI AELEZA MAZITO
KIFO cha tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa (50) ambacho kimetingisha kanda nzima ya ziwa, kilichotokea dakika chache baada ya marehemu kudaiwa kufanya mapenzi ndani ya gari lake, sasa mambo hadharani juu ya kila kitu kilichotokea, Risasi Jumamosi linakupa mkanda mzima.
Tukio hilo lililozua gumzo mjini Bukoba, lilitokea usiku Novemba 18, mwaka huu ambapo imeelezwa kuwa marehemu ambaye ni baba wa familia, kabla ya kupatwa na umauti,...
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
SHIWATA waombeleza kifo cha Capt. John Komba
Na Mwandishi wetu
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) unaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha Makamu Mwenyekiti wao, John Komba aliyefariki Jumamosi na kuzikwa jana nyumbani kwao kijiji cha Litui, Mbinga mkoa wa Ruvuma.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib katika salamu zake za rambirambi alisema mtandao huo umempoteza kiongozi mwadilifu aliyetumia kipaji chake cha usanii kuwaunganisha makundi ya wanamichezo,waigizaji, wasanii wa luninga, bongo movie,wacheza sarakasi na waandishi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pUv0rT5h6PIC1NlqRVekTiHBbgNCTQ28xURbh0duhlt8*3nLjbB-0PCCTi7RQbKoUO0VIzQ*VP5H8sh2nObsP7UgLkVEvctc/Komba.jpg)
KIFO CHA KOMBA MINONG’ONO YAANZA
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Kifo cha Kapt Komba: Nihurumieni Jamani!-Lulu
Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni John Komba , mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa , Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina kubwa Bongo.
Habari kutoka kwa chanzo chao makini ambacho ni mtu wa...
10 years ago
CloudsFM16 Feb
Kumbe Dully alipata taarifa za kifo cha baba yake akijiandaa kupanda stejini kufanya shoo
Habari zinasema kuwa msanii wa Bongo Fleva,Dully Sykes alipata taarifa za msiba wa baba yake wakati akijiandaa kupanda stejini kwenye shoo moja iliyofanyika mwishoni mwa wiki hii maeneo ya Mbezi Luis,jijini Dar.