Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO: Kifo cha Kapteni KOMBA chaishtua CCM

120

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Wanusurika kifo wakienda kumzika Kapteni John Komba.

Watu watatu wakiwemo wanawake wawili na mwanaume mmoja wamenusurika kifo baada ya gari yao yenye namba ya usajili STK 7472 Kupinduka eneo la Tutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe-Songea wakielekea kumzika Kapteni John Komba.Kwa mujibu wa mashuhuda wameiambia Kijukuu Blog kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa saba usiku juzi na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.

Source:Kijukuu Blog

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Habarileo

Sauti ya Kapteni John Komba kuendelea kunguruma CCM

Marehemu John Komba.SAUTI ya Kada wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Kiongozi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba, huenda ikaendelea kusikika katika vibao vipya ambavyo alishaviandaa.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI RUVUMA KUSHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU KAPTENI KOMBA

kn1 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na  akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Helena Shumbusho mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea mkoani humo tayari kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa jimbo la Mbiga Magharibi Marehemu Kapteni John Damiano Komba aliyefariki hivi karibuni katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam, mwili wa Kapteni John Komba unazikwa leo huko kijijini kwao Lituhi mkoani Ruvuma. kn2 Katibu...

 

10 years ago

Mtanzania

JK: Kifo cha Komba ni pigo

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewaongoza mamia ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, wabunge, viongozi wa Serikali na wanasiasa wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, huku akisema kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe ni pigo.
Alisema kifo cha Kapteni Komba kimeliondolea Taifa mmoja wa viongozi wake wazuri, msanii mahiri, raia mwema na mzalendo wa kweli.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana, Rais...

 

10 years ago

Habarileo

Buriani Kapteni John Komba

John Komba enzi za uhai wakeNI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.

 

10 years ago

GPL

UNDANI WA KIFO CHA KEPTENI JOHN KOMBA!

Marehemu Kapteni Komba. Picha ya kwanza ya Marehemu komba mara baada ya kufariki dunia.…

 

10 years ago

GPL

KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

MSIBA MZITO: Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (pichani), amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jiijini Dar, mtoto wa marehemu Herman Komba amethibitisha huku akilia. HABARI ZAIDI  KUWAJIA HIVI PUNDE.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani