Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI KUU YA CCM YAPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA KAPTENI JOHN KOMBA KWA MSTUKO MKUBWA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

CloudsFM

Wanusurika kifo wakienda kumzika Kapteni John Komba.

Watu watatu wakiwemo wanawake wawili na mwanaume mmoja wamenusurika kifo baada ya gari yao yenye namba ya usajili STK 7472 Kupinduka eneo la Tutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe-Songea wakielekea kumzika Kapteni John Komba.Kwa mujibu wa mashuhuda wameiambia Kijukuu Blog kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa saba usiku juzi na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.

Source:Kijukuu Blog

 

10 years ago

Habarileo

Sauti ya Kapteni John Komba kuendelea kunguruma CCM

Marehemu John Komba.SAUTI ya Kada wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Kiongozi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba, huenda ikaendelea kusikika katika vibao vipya ambavyo alishaviandaa.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA RASMI YA CCM KUHUSU KIKAO CHA KAMATI KUU LEO

Kamati Kuu imepokea na kutafakari taarifa ya Kamati ya Usalama na Maadili ambayo ilipitia adhabu waliyopewa wanachama sita waliokiuka kanuni za Maadili na kupewa Onyo Kali, adhabu iliyodumu kwa kipindi kisichopungua miezi 12.
Wanachama hao sita ni;-i. January Makambaii. Willium Ngelejaiii. Steven Wasiraiv. Bernard Membev. Edward Lowassavi. Fredrick Sumaye
Kamati Kuu imepokea na kukubali pendekezo la Kamati ya Usalama na Maadili ya kumalizaka kwa kipindi cha adhabu kwa wanachama hawa. Kwahiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Buriani Kapteni John Komba

John Komba enzi za uhai wakeNI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.

 

10 years ago

GPL

UNDANI WA KIFO CHA KEPTENI JOHN KOMBA!

Marehemu Kapteni Komba. Picha ya kwanza ya Marehemu komba mara baada ya kufariki dunia.…

 

10 years ago

GPL

KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA

MSIBA MZITO: Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba (pichani), amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jiijini Dar, mtoto wa marehemu Herman Komba amethibitisha huku akilia. HABARI ZAIDI  KUWAJIA HIVI PUNDE.…

 

10 years ago

GPL

KAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE

Waandishi wetu/mchanganyiko11 NIKIMYA Milele. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya msiba mkubwa uliotingisha nchi, kufuatia kufariki ghafla, kuagwa na hatimaye kufanyika kwa mazishi ya Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteini Mstaafu wa Jeshi, John Damian Komba katika Kijiji cha Lituhi, kilichopo katika mwambao wa Ziwa Nyasa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mwili wa Kapteini John Damian...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani