Wanusurika kifo wakienda kumzika Kapteni John Komba.
Watu watatu wakiwemo wanawake wawili na mwanaume mmoja wamenusurika kifo baada ya gari yao yenye namba ya usajili STK 7472 Kupinduka eneo la Tutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe-Songea wakielekea kumzika Kapteni John Komba.
Kwa mujibu wa mashuhuda wameiambia Kijukuu Blog kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa saba usiku juzi na kuongeza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
Source:Kijukuu Blog
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/b3VmwKK_Qv4/default.jpg)
10 years ago
Habarileo01 Mar
Buriani Kapteni John Komba
NI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBYXuQS0FL5UF6wjxCUhu1U4qR9co3I9uPQWDNggTNFn4XYFplphhUWqwKPas-Y4Wk-PFb-SVQr1r9461vVD3mpi/FRONTRISASI.jpg?width=650)
KAPTENI JOHN KOMBA KIMYA MILELE
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA
Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki February 28.
Leo Mpoki amesikika kwenye Leo Tena CloudsFM, alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo; “..Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo huwezi kumpata tena.. lakini ukimpoteza mbuzi utaenda...
10 years ago
Habarileo07 Mar
Sauti ya Kapteni John Komba kuendelea kunguruma CCM
SAUTI ya Kada wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Kiongozi wa Kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba, huenda ikaendelea kusikika katika vibao vipya ambavyo alishaviandaa.
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
10 years ago
Dewji Blog28 Feb
Kapteni John Komba afariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ
Kutoka chumba cha habari cha modewjiblog , aliyekuwa Mkurugenzi wa TOT na Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi, mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba (pichani) amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ Mikocheni jijini Dar alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Mtoto wake Jerry Komba amesema chanzo cha kifo chake ni Kushuka kwa Sukari akiwa nyumbani kwake Mbezi, na kumpeleka Hospitali ambako mauti yalimkuta.
Chanzo cha habari chetu kinasema taratibu za kuhamisha mwili wa marehemu...