KIFO CHA KUAMBIANA, KOLETA AZIMIA, ALAZWA
![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFWZ*okgBKbPmv0-G-yXhzLcKXJqJKjr19kT0r0H1m5h4dGqV6EeSkijHN6F8aexxWHdJrlrZ8AhZ47hVmkrSDtv/koleta.jpg?width=650)
Na Nyemo Chilongani BAADA ya kupewa taarifa za msiba wa Adam Kuambiana, staa wa filamu za Kibongo, Coletha Rymond ‘Koleta’ alijikuta akizimia na kulazwa katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar. Staa wa filamu za Kibongo, Coletha Rymond ‘Koleta’ akiwa hospitali baada ya kuzimia kwenye msiba wa msanii mwenzake Kuambiana. Sosi ambaye ni mtu wa karibu na staa huyo, alipenyeza habari kuwa Koleta alishindwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlma9uwqJPT*c-w6Zh3lFhiNmn66X6xY9FaWnbRD7LPppuVeFzuk0TyZMdOgkAuu7bwx0ElKU2fAERIdVxZqL1k/DENTI.jpg)
DENTI ABAKWA, AZIMIA, ALAZWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND3D-ZSORytThibaOSgqP7ZHJx4RTcDebTtHJgyinyVeCXKxHnPFqUS7siDuEyFXiJLMTwzsL8FQ99Vb2V01nEtQ/DEVOTHA.jpg)
DEVOTHA MBAGA AZIMIA MSIBANI, ALAZWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIm5dXp4wsQsMDZdIEH5WW34-akrC718ewKBGTNtexEOccZQSaHwHcQo32lEtMW0LTMs2PdgYiE2eIGHLBHXMYXh/kuambiana.jpg)
KIFO CHA KUAMBIANA SUMU YATAJWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4S4DUD84Vb7dKOGX2xLtSV8Up3ntckWlLP*4ifbxVRMBaoA7LjBXMZHL7Xl0t1xx-xAQMorBC9UTmPXOzw6mILjIsbKlBZ7o/APK4b.jpg?width=650)
KIFO CHA KUAMBIANA... STEVE NYERERE: PIGO KWA MADAIREKTA
5 years ago
BBCSwahili30 May
Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Proin yaomboleza kifoa cha Kuambiana
KAMPUNI ya Proin Promotions Limited ambao ni waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents, wametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa marehemu, Adam Kuambiana, aliyefariki hivi karibuni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBB375WWVe*h63TZh*mJaPjUF*fvdwDGnUOMGHOU1yEPL9VWl-EDZsUajB1bgCstv0Nyrh7Y1IwEw7HEADgeNsbR/ezekiely.jpg)
AUNT AKUMBUKA KIPIGO CHA KUAMBIANA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bgWZynVz*oWPxSnpdx81*nEWKnfR3YzfSf-rKjECbrgybhW*Lm71cHR*WwDE5OZ1owfBZc4HOPQOKXfTAK2yAQMGr3bGNgag/secky2.jpg)
FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki
Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo mengine, Lulu alijibu kwa kifupi;
Mwandishi: “Lulu kwanza tumesikia unaumwa na umelazwa, ni kweli?”
Lulu: “Siyo...