JB na Steve Nyerere wadaiwa kuvutana mashati msibani mwa Adam Kuambiana. Chanzo ni pesa
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua wasanii Jakob Steven Jb na Steve Magele Nyerere wamepiga nguvu kavukavu karibu na eneo la msiba wa marehemu Adam Kuambiana huko Bunju huku kisa kikiwa kugeukana kwenye dili la matangazo.
Kwa mujibu wa tovuti ya maskanibongotz zilisema kuwa msanii steve nyerere ndiye aliyeanza kumchokoza msanii Jb kwa kumchana baada ya kumgeuka kwenye mchongo wa matangazo ya kampuni moja ya simu iliyopo maeneo ya Moroco Jijini Dar.
Habari zaidi zilisema wakati...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
STEVE NYERERE, BABA HAJI WATAKA KUJICHAPA MSIBANI
11 years ago
GPL
KIFO CHA KUAMBIANA... STEVE NYERERE: PIGO KWA MADAIREKTA
10 years ago
GPLSTEVE NYERERE ACHANGISHA PESA ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA
9 years ago
Bongo519 Nov
Steve Nyerere: Nilimwambia Magufuli kuwasaidia wasanii wa filamu ni kupoteza pesa

Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Club, Steve Nyerere amesema aliulizwa kwa zaidi ya mara sita na Rais Dk John Magufuli kuhusu nsaada wanaouhitaji, lakini amedai alishindwa kumjibu kutokana na wasanii wengi kutojitambua.
Akizungumza katika kipindi cha Take One cha Clouds TV, Steve alisema alimwambia Magufuli asipoteze pesa ya serikali kuwasaidia wasanii wa filamu.
“Sikatai,” alisema Steve. “Nilishamwambia mheshimiwa rais, utapoteza pesa zako, nilisha mwambia mstaafu na huyu mpya...
11 years ago
MichuziBURIANI ADAM KUAMBIANA
Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo.
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...
11 years ago
GPL
ADAM KUAMBIANA AZIKWA
11 years ago
GPL
ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Buriani Amina Ngaluma, Adam Kuambiana
WIKI hii imekuwa ni ya majonzi na simanzi kwa wapenzi na mashabiki wa masuala ya burudani, baada ya kuwapoteza nguli wake wake Amina Ngaluma na Adam Kuambiana ambao hatunao tena...
11 years ago
GPL
Adam Kuambiana kuzikwa kesho alipozikwa Kanumba