Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Buriani Amina Ngaluma, Adam Kuambiana

WIKI hii imekuwa ni ya majonzi na simanzi kwa wapenzi na mashabiki wa masuala ya burudani, baada ya kuwapoteza nguli wake wake Amina Ngaluma na Adam Kuambiana ambao hatunao tena...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Shiwata wawalilia Amina Ngaluma na Adam Kuambiana

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)umepokea kwa majonzi kifo cha mwanamuziki mashuhuri na maarufu wa mwanamuziki wa dansi nchini,Amina Ngaluma "Japanese" aliyefariki nchini Thailand.
Marehemu Ngaluma aliyekuwa mwanachama wa SHIWATA atakumbukwa kwa mengi mazuri aliyoyafanya akiwa mwanamuziki wa kike mwenye kipaji cha kutunga,kuimba na kutawala jukwaa katika maonesho ya akiwa na bendi mbalimbali ikiwemo Tam Tam, Double M,Tanzania One Theatre (TOT).
Ngaluma pia amewahi kufanya maonesho...

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ADAM KUAMBIANA





Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo. 
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...

 

11 years ago

GPL

MSIBA WA AMINA NGALUMA

waombelezaji mbalimbali wakiwasili msibani. waombelezaji (wakinamama) wakiwa katika majonzi.…

 

11 years ago

GPL

SIMANZI MAZISHI YA AMINA NGALUMA

Stori: WAANDISHI WETU Vilio! Majonzi na simanzi vimetawala kwenye mazishi ya aliyekuwa mwimbaji wa dansi Bongo, Amina Ngaluma ‘Japanese’ (41) aliyefariki dunia Mei 15, mwaka huu huko nchini Thailand. Mama mzazi wa Amina Nguluma akilia kwa uchungu usiku wa kupokea mwili wa Marehemu Amina Nguluma kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. Mwanamuziki huyo wa siku nyingi ambaye alifariki dunia baada...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA AMINA NGALUMA WAWASILI DAR

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake. MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ umewasili jijini Dar es Salaam usiku huu. Nyota huyo wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', mpaka mauti yanamfika alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid...

 

10 years ago

Michuzi

Kumbukumbu ya Amina Ngaluma J’mosi Dar

 KISOMO cha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam. Akizungumza baba mzazi wa marehemu,  Kassim Ngaluma, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehemu na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali wa marehemu wakati wa uhai wake wahudhurie. “Tunaomba wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa msiba wa marehemu mwanangu,...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMINA NGALUMA

Waombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko. Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.…

 

11 years ago

GPL

MWIMBAJI AMINA NGALUMA AFARIKI DUNIA

Amina Ngaluma 'Japanese' enzi za uhai wake. MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani. Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU AMINA MAHALI...

 

11 years ago

GPL

MWILI WA AMINA NGALUMA ULIVYOPOKELEWA JIJINI DAR

Mwili wa mwimbaji Amina Ngaluma aliyefariki akiwa nchini Thailand ukipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar usiku wa Mei 23, 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani