Kumbukumbu ya Amina Ngaluma J’mosi Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-LD6do1-NNUk/VVNV710k-tI/AAAAAAAC4Wg/4jv-io37bww/s72-c/aminangaluma2%2B(1).jpg)
KISOMO cha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam. Akizungumza baba mzazi wa marehemu, Kassim Ngaluma, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehemu na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali wa marehemu wakati wa uhai wake wahudhurie. “Tunaomba wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa msiba wa marehemu mwanangu,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s72-c/IMG-20140515-WA0025.jpg)
Kumbukumbu ya Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s400/IMG-20140515-WA0025.jpg)
KISOMO cha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, baba mzazi wa marehemu, Kassim Ngaluma, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehemu na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali wa marehemu wakati wa uhai wake wahudhurie.
“Tunaomba wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MWILI WA AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
11 years ago
GPLMWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
11 years ago
GPL25 May
MWILI WA AMINA NGALUMA ULIVYOPOKELEWA JIJINI DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/JHS5fnHuLYkbSO3gLQNYaXA2gYVBny3D*BeNHqsCK-K2DSGl8zQeKSEvORjocaT26eEDVvyHnKfpXoOWaf-QVTyUdJF7ngg4/Ngaluma.jpg?width=650)
MWILI WA AMINA NGALUMA KUWASILI DAR IJUMAA HII
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tPlKaE183k0/U7PMBB3dOAI/AAAAAAAFuLU/ldlCoD-rqDE/s72-c/AMINA+NGALUMA.jpg)
Kisomo cha 40 ya Marehemu Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-tPlKaE183k0/U7PMBB3dOAI/AAAAAAAFuLU/ldlCoD-rqDE/s1600/AMINA+NGALUMA.jpg)
KISOMO cha 40 ya aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa marehemu Rashid Sumuni, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehmu na kwamba pia watakuwa na shughuli maalum ya kufutarisha waumini baada ya kumalizika kisomo hicho.
“Tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa msiba wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhKaa56BSVVSlBLUXIpzvYyn7BCgfwZwbpR7vuTQMjg6EmFIplWgsCk0Q2Br5t6Lx12TxtNOXa2sSXqs8B9vkfj2MTmNWr6k/1.jpg?width=650)
MSIBA WA AMINA NGALUMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*r6sbmstWSOG-IQGMd52DN5*i6J3J6wtcKVA9peCQ1m3PH7hJPJpSv-l2EnoRzN7l6V1avSXST*pZ9mqy1RjRFP/ngaluma.jpg)
SIMANZI MAZISHI YA AMINA NGALUMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhKaa56BSVVjnwxIgTDAQVFmMHSjCh0*BCUlGLA*RmbsISBczKZKbwQ9yrIiiHZlgFucnT-VUGbAQOow*tu0BKEd3pXobyWj/IMG20140524WA0013.jpg?width=650)
SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMINA NGALUMA