MWILI WA AMINA NGALUMA KUWASILI DAR IJUMAA HII
![](http://api.ning.com/files/JHS5fnHuLYkbSO3gLQNYaXA2gYVBny3D*BeNHqsCK-K2DSGl8zQeKSEvORjocaT26eEDVvyHnKfpXoOWaf-QVTyUdJF7ngg4/Ngaluma.jpg?width=650)
Mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita huko Thailand, Amina Ngaluma. Na Mwandishi Wetu MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ unatarajiwa kuwasili Dar es Salaam Ijumaa wiki hii. Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid Sumuni tayari taratibu muhimu kuhusiana na kuuleta mwili huo nyumbani zimefanyika na wana amini mambo yataenda kama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MWILI WA AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
11 years ago
GPL25 May
MWILI WA AMINA NGALUMA ULIVYOPOKELEWA JIJINI DAR
11 years ago
GPLMWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Vl9-I6ostuU/U3t3n7i9mUI/AAAAAAAFj2A/6jXAW7VWuF8/s72-c/AMINA+NGALUMA.jpg)
Mwili wa Ngaluma kuletwa Dar Ijumaa
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vl9-I6ostuU/U3t3n7i9mUI/AAAAAAAFj2A/6jXAW7VWuF8/s1600/AMINA+NGALUMA.jpg)
Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid Sumuni tayari taratibu muhimu kuhusiana na kuuleta mwili huo nyumbani zimefanyika na wana amini mambo yataenda kama wanavyotarajia.
“Naomba niwajulishe kuwa mwili wa mke wangu utaondoka Thailand Alhamisi wiki hii kwa ndege ya KLM na utawasili Dar es Salaam siku inayofuata saa tatu...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LD6do1-NNUk/VVNV710k-tI/AAAAAAAC4Wg/4jv-io37bww/s72-c/aminangaluma2%2B(1).jpg)
Kumbukumbu ya Amina Ngaluma J’mosi Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-LD6do1-NNUk/VVNV710k-tI/AAAAAAAC4Wg/4jv-io37bww/s320/aminangaluma2%2B(1).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s72-c/IMG-20140515-WA0025.jpg)
Kumbukumbu ya Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s400/IMG-20140515-WA0025.jpg)
KISOMO cha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, baba mzazi wa marehemu, Kassim Ngaluma, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehemu na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali wa marehemu wakati wa uhai wake wahudhurie.
“Tunaomba wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tPlKaE183k0/U7PMBB3dOAI/AAAAAAAFuLU/ldlCoD-rqDE/s72-c/AMINA+NGALUMA.jpg)
Kisomo cha 40 ya Marehemu Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-tPlKaE183k0/U7PMBB3dOAI/AAAAAAAFuLU/ldlCoD-rqDE/s1600/AMINA+NGALUMA.jpg)
KISOMO cha 40 ya aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, mume wa marehemu Rashid Sumuni, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehmu na kwamba pia watakuwa na shughuli maalum ya kufutarisha waumini baada ya kumalizika kisomo hicho.
“Tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa msiba wa...
9 years ago
Habarileo26 Sep
Mwili wa Kombani kuwasili Dar leo
MWILI wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, unatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam leo saa 9 alasiri kutoka nchini India, alikofariki wakati akipatiwa matibabu ya saratani.