Mwili wa Ngaluma kuletwa Dar Ijumaa
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vl9-I6ostuU/U3t3n7i9mUI/AAAAAAAFj2A/6jXAW7VWuF8/s72-c/AMINA+NGALUMA.jpg)
MWILI wa mwimbaji mahiri nchini aliyefariki dunia wiki iliyopita nchini Thailand, Amina Ngaluma ‘Japanese’ unatarajiwa kuwasili Dar es Salaam Ijumaa wiki hii.
Kwa mujibu wa mume wa marehemu, Rashid Sumuni tayari taratibu muhimu kuhusiana na kuuleta mwili huo nyumbani zimefanyika na wana amini mambo yataenda kama wanavyotarajia.
“Naomba niwajulishe kuwa mwili wa mke wangu utaondoka Thailand Alhamisi wiki hii kwa ndege ya KLM na utawasili Dar es Salaam siku inayofuata saa tatu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/JHS5fnHuLYkbSO3gLQNYaXA2gYVBny3D*BeNHqsCK-K2DSGl8zQeKSEvORjocaT26eEDVvyHnKfpXoOWaf-QVTyUdJF7ngg4/Ngaluma.jpg?width=650)
MWILI WA AMINA NGALUMA KUWASILI DAR IJUMAA HII
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MWILI WA AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
11 years ago
GPLMWILI WA MAREHEMU AMINA NGALUMA WAWASILI DAR
11 years ago
GPL25 May
MWILI WA AMINA NGALUMA ULIVYOPOKELEWA JIJINI DAR
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mwili wa Kazaura kuletwa leo
MWILI wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Balozi Fulgence Kazaura unatarajia kuwasili nchini leo jioni. Akizungumza jana, Msemaji wa familia, Charles Mombeki alisema mwili huo utawasili kwa ndege ya Shirika la Ndege la Emirates. Balozi Kazaura alifariki dunia siku ya Jumamosi nchini India, alikokuwa akipatiwa matibabu katika Kituo cha Matibabu ya Saratani katika mji wa Chennai nchini humo.
11 years ago
Mwananchi27 May
Afya ya ‘mtoto wa boksi’ yabadilika ghafla, kuletwa Dar leo
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LD6do1-NNUk/VVNV710k-tI/AAAAAAAC4Wg/4jv-io37bww/s72-c/aminangaluma2%2B(1).jpg)
Kumbukumbu ya Amina Ngaluma J’mosi Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-LD6do1-NNUk/VVNV710k-tI/AAAAAAAC4Wg/4jv-io37bww/s320/aminangaluma2%2B(1).jpg)
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Exclusive: Shilole alivyoolewa na dereva wa Lori, alivyouza soda stand ya basi na kuletwa Dar mara ya kwanza
Shilole ni mwigizaji lakini pia msanii kwenye bongofleva ambao ni muziki wa kizazi cha sasa Tanzania, ni miongoni mwa mastaa wa kike wenye mapito yao kwenye haya maisha ambapo leo anatusimulia jinsi alivyoolewa na dereva wa Lori na kuletwa Dar es salaam, alivyofanya biashara kwenye kituo cha Mabasi pamoja na ishu nyingine, bonyeza play kwenye […]
The post Exclusive: Shilole alivyoolewa na dereva wa Lori, alivyouza soda stand ya basi na kuletwa Dar mara ya kwanza appeared first on...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s72-c/IMG-20140515-WA0025.jpg)
Kumbukumbu ya Amina Ngaluma kufanyika Jumamosi jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-94hI2zL5kl8/VVNqym6XvXI/AAAAAAAHXE4/Czy0k1uwwcw/s400/IMG-20140515-WA0025.jpg)
KISOMO cha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha aliyekuwa mwimbaji mahiri nchini, marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’ kinatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii Kitunda, Machimbo Dar es Salaam.
Akizungumza na gazeti hili, baba mzazi wa marehemu, Kassim Ngaluma, alisema kisomo hicho kitafanyika nyumbani kwa wazazi wake marehemu na kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali wa marehemu wakati wa uhai wake wahudhurie.
“Tunaomba wote tulioshiriki kwa namna mbalimbali wakati wa...