Afya ya ‘mtoto wa boksi’ yabadilika ghafla, kuletwa Dar leo
Hali ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyekuwa amefichwa kwenye boksi kwa miaka minne, imebadilika ghafla juzi na jana kuwalazimu madaktari kumweka katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Majibu ya mtoto wa boksi leo
MAJIBU ya vipimo vya afya vilivyofanyika juzi kwa mtoto Nasra Rashid (4), aliyefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, kwa muda wa miaka minne, yanatarajiwa kutolewa leo. Mtoto huyo awali alilazwa katika...
11 years ago
Mwananchi03 Jun
‘Mtoto wa boksi’ kuzikwa leo, ndugu wa babake wajitokeza
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4Cf9y7rB4uU*dDafBejBSkuyvt1ZPMwWaVfQ73IwPjP5UebEK5nT9AAipokWdyTZSUEGCqbN6Tug721BiEcW2O/nasrah.jpg)
‘MTOTO WA BOKSI’ KUAGWA, KUZIKWA LEO MORO
9 years ago
Habarileo06 Sep
Stars yabadilika Dar
TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars jana ilitoka sare ya bila kufungana dhidi ya Nigeria katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za michuano ya Kombe la Mataifa Afrika iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mwili wa Kazaura kuletwa leo
MWILI wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Balozi Fulgence Kazaura unatarajia kuwasili nchini leo jioni. Akizungumza jana, Msemaji wa familia, Charles Mombeki alisema mwili huo utawasili kwa ndege ya Shirika la Ndege la Emirates. Balozi Kazaura alifariki dunia siku ya Jumamosi nchini India, alikokuwa akipatiwa matibabu katika Kituo cha Matibabu ya Saratani katika mji wa Chennai nchini humo.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
‘Mtoto wa boksi’ hatunaye
Mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi akiwa na umri wa miezi tisa, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa ajili ya uchunguzi na matibabu. Taarifa za...
11 years ago
Habarileo02 Jun
Buriani 'mtoto wa boksi'
MSIBA wa mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa kwa kufungiwa katika boksi kwa zaidi ya miaka mitatu, ambako ndiko alikokuwa akipewa chakula, kwenda haja kubwa na ndogo na kulala, umeibua simanzi jijini Dar es Salaam, Morogoro na katika maeneo mbalimbali nchini. Jana taarifa za kufariki kwa Nasra aliyekuwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zilisambaa katika maeneo mbalimbali nchini kupitia mitandao ya kijamii na baadaye kuthibitishwa na Msemaji wa...
11 years ago
Habarileo03 Jun
Bibi wa 'mtoto wa boksi' aibuka
WAKATI mtoto Nasra Mvungi (4), aliyeteswa na walezi kwa kuishi katika maboksi kwa zaidi ya miaka mitatu, akitarajiwa kuzikwa leo, bibi mzaa mama yake, Asha Abdalah, aliibuka jana kuomba mwili wa marehemu ili wakazike nyumbani kwao.
11 years ago
Habarileo26 May
Mapya yaibuka mtoto wa boksi
UTATA umeendelea kugubika tukio la mtoto kukutwa kwenye boksi katika mtaa wa Azimio mjini Morogoro akiwa ameishi humo kwa miaka mitatu, ambapo sasa imebainika kuwepo kwa shimo lililojaa maji jirani na alipokuwa amefungiwa mtoto huyo.