Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars yabadilika Dar

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars jana ilitoka sare ya bila kufungana dhidi ya Nigeria katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za michuano ya Kombe la Mataifa Afrika iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Afya ya ‘mtoto wa boksi’ yabadilika ghafla, kuletwa Dar leo

Hali ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyekuwa amefichwa kwenye boksi kwa miaka minne, imebadilika ghafla juzi na jana kuwalazimu madaktari kumweka katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yabadilika mara tatu

Licha ya kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo kubadilisha fomesheni mara tatu katika mechi dhidi ya Simba, bado malengo yake hayakutosha kuisaidia timu hiyo kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tabia ya virusi vya Ebola yabadilika

Wanasayansi wanaofuatilia ugonjwa wa Ebola nchini Guinea wamesema kuwa virusi vya Ebola vimebadilika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twiga Stars inawezekana Dar

NI Jumatatu nyingine tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kama kawaida lengo likiwa ni lile lile, kupeana changamoto za kispoti ili kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu katika jamii. Bila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars kurejea Dar kesho

WAKATI timu ya taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, ikitarajiwa kurejea jijini Dar es Salaam kesho ikitokea kambini jijini Mbeya, wachezaji wana matumaini makubwa ya kuvuka kikwazo cha Msumbiji...

 

11 years ago

GPL

Stars wakimbia dengue Dar

Kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars. Martha Mboma na Mohamed Mdose
TAYARI timu ya taifa, Taifa Stars, ipo kwenye harakati za mwisho za kuanza kambi yake leo huko Tukuyu, Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Msumbiji huku sababu ya kuwapeleka mkoani humo ikitajwa ni kuyaepuka magonjwa ya malaria na dengue. Stars inatarajiwa kuvaana na Msumbiji Julai 20, mwaka huu kwa ajili ya kutafuta tiketi ya kufuzu...

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS, MALAWI UWANJANI DAR

Taifa Stars na Malawi (Flames) zinapambana kesho (Mei 27 mwaka huu) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 kamili jioni. Malawi tayari ipo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi hiyo wakati Taifa Stars iliyopiga kambi yake Tukuyu mkoani Mbeya inawasili jijini Dar es Salaam kesho (Mei 27 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwa ndege ya Air Tanzania. Kiingilio katika mechi hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS MABORESHO YAREJEA DAR

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kinarejea leo Dar es Salaam kutoka Bulyanhulu mkoani Shinyanga ambapo kiliweka kambi kwa ajili ya mechi ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu.
Timu hiyo ambayo leo asubuhi imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, itatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ndege ya Fastjet saa 12.30 jioni na kwenda moja kwa moja kambini hoteli ya Tansoma.
Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kesho...

 

9 years ago

Habarileo

Samatta, Ulimwengu kuifuata Stars Dar

WASHAMBULIAJI mahiri wa Tanzania wanaoichezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Ally Samatta na Thomas Ulimwengu wataungana na timu ya taifa jijini Dar es Salaam badala ya kwenda Afrika Kusini ambako imepiga kambi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani