Stars wakimbia dengue Dar
![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRZnrdbah0YC0lBTPMhrlcUPulHU2qKZOankk-8pGDmyi7*g7uKhhJIjPDZblXSBsEHvXuI9NA5MXll7bpOIqSBB/dar.gif?width=650)
Kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars. Martha Mboma na Mohamed Mdose TAYARI timu ya taifa, Taifa Stars, ipo kwenye harakati za mwisho za kuanza kambi yake leo huko Tukuyu, Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Msumbiji huku sababu ya kuwapeleka mkoani humo ikitajwa ni kuyaepuka magonjwa ya malaria na dengue. Stars inatarajiwa kuvaana na Msumbiji Julai 20, mwaka huu kwa ajili ya kutafuta tiketi ya kufuzu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 May
'Dar inasambaza Dengue mikoani'
UGONJWA wa homa ya dengue umeanza kusambaa kwa kasi mikoani ambapo sasa wagonjwa wapya 50 wamegundulika huku ikielezwa wengi ni waliotoka nao mkoani Dar es Salaam. Hayo yalisemwa jana mjini hapa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Afya na Dharura, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Elias Kessy.
11 years ago
Mwananchi06 May
Homa ya Dengue yatikisa Dar
11 years ago
Daily News08 Feb
Dengue fever attacks 21 people in Dar
Daily News
A TOTAL of 21 people have been admitted to different hospitals in Dar es Salaam following an outbreak in dengue fever, it has been learnt. The Ministry of Health and Social Welfare Spokesperson, Mr Nsachris Mwamwaja said in the city on Friday that 18 ...
11 years ago
Mwananchi19 May
‘Nabii wa dengue’ aibuka Dar, ataka kumwona JK
11 years ago
TheCitizen12 May
Medical body issues warning as dengue kills more in Dar
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Wanaume wakimbia vipimo
WANAWAKE wengi wa Tarafa ya Mwese katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, wanalazimika kujifungulia nyumbani kutokana na kunyimwa huduma kwenye kliniki baada ya kushindwa kwenda na waume zao kupimwa afya. Hayo yalielezwa...
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Mamia wakimbia vita Bor
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Wapalestina wakimbia Gaza kaskazini