Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Nabii wa dengue’ aibuka Dar, ataka kumwona JK

>Wakati homa ya dengue ikizidi kusambaa nchini, tayari watu 60 wamebainika kuwa na dalili za ugonjwa huo mkoani Lindi, lakini jijini Dar es Salaam ameibuka kiongozi wa dini anayejiita nabii na kwamba anatibu ugonjwa huo kwa kutumia juisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MMILIKI WA YANGA AIBUKA, ATAKA KWENDA KWA KIKWETE

Juma Mwambelo. Na John Joseph
ALIYEJITANGAZA kuwa mmiliki wa klabu ya Yanga, Juma Mwambelo, amesema yu tayari kukabidhi nyaraka zinazotafutwa na uongozi wa klabu hiyo kwa Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete. Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga, alitangaza kwenye mkutano wa Yanga kwamba Mwambelo anashikilia hati za umiliki wa klabu ya Yanga kimakosa na anatakiwa kuzikabidhisha haraka iwezekanavyo kabla ya kuchukuliwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.

Kufuatia makundi mbalimbali yanayojitokeza kwenda nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kumshawishi kugombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hatua hiyo itamfanya akose sifa za kugombea nafasi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Nabii aliyejitabiria kifo afariki dunia Dar

Mwanzilishi wa Kanisa la The Pool of Siloam, Nabii Eliya Adam amefariki dunia juzi mchana, muda mfupi baada ya kuwaeleza wasaidizi wake kuwa siku hiyo ndiyo ilikuwa ya mwisho kwake kuishi duniani.

 

10 years ago

GPL

NABII YASPI AWAPONYA WAGONJWA KWA KUTUMIA PAFYUMU DAR

Nabii Yaspi akiibariki moja ya pafyumu hizo. Hapa akiwapulizia wagonjwa mbalimbali. NABII wa Kanisa la…

 

11 years ago

GPL

Stars wakimbia dengue Dar

Kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars. Martha Mboma na Mohamed Mdose
TAYARI timu ya taifa, Taifa Stars, ipo kwenye harakati za mwisho za kuanza kambi yake leo huko Tukuyu, Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Msumbiji huku sababu ya kuwapeleka mkoani humo ikitajwa ni kuyaepuka magonjwa ya malaria na dengue. Stars inatarajiwa kuvaana na Msumbiji Julai 20, mwaka huu kwa ajili ya kutafuta tiketi ya kufuzu...

 

11 years ago

Mwananchi

Homa ya Dengue yatikisa Dar

>Ugonjwa wa homa ya dengue umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na sasa umeathiri wilaya zake tatu na kuzua hofu kwa wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

'Dar inasambaza Dengue mikoani'

UGONJWA wa homa ya dengue umeanza kusambaa kwa kasi mikoani ambapo sasa wagonjwa wapya 50 wamegundulika huku ikielezwa wengi ni waliotoka nao mkoani Dar es Salaam. Hayo yalisemwa jana mjini hapa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Afya na Dharura, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Elias Kessy.

 

11 years ago

Daily News

Dengue fever attacks 21 people in Dar


Dengue fever attacks 21 people in Dar
Daily News
A TOTAL of 21 people have been admitted to different hospitals in Dar es Salaam following an outbreak in dengue fever, it has been learnt. The Ministry of Health and Social Welfare Spokesperson, Mr Nsachris Mwamwaja said in the city on Friday that 18 ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani